johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Gwajima na wasukuma wenzake wamefitinika. Mama amejua sana ku divide and rule Sukuma gangFuraha Dominic ambaye ni mtoto wa dada wa hayati Magufuli amesema haoni tofauti yoyote kati ya utawala wa mjomba wake na Rais wa sasa mh Samia.
Dominic ambaye aligombea ubunge Kawe amesema hajawahi kumuona mtu mwongo hapa duniani kama askofu Gwajima.
Kipindi kiko mubashara Star tv, karibu
Updates;
Ohoo... Dogo anaharibuFuraha Dominic ambaye ni mtoto wa dada wa hayati Magufuli amesema haoni tofauti yoyote kati ya utawala wa mjomba wake na Rais wa sasa mh Samia.
Dominic ambaye aligombea ubunge Kawe amesema hajawahi kumuona mtu mwongo hapa duniani kama askofu Gwajima.
Kipindi kiko mubashara Star tv, karibu
Updates;
Dogo anafunguka!Ohoo... Dogo anaharibu
😂😂😂Magufuli amefanya mambo makubwa sana nchi hii.
Ni kikundi cha wahuni tu kilichokua hakimpendi ndio kinapiga kelele kwamba Magufuli hakufanya kitu ama sijui alikua dikteta na mambo kama hayo.
Magufuli aliteua mawaziri 2 kutoka Geita, Kalemani na Biteko watu wakasema amejaza ndugu zake wote baraza la mawaziri.
Leo Samia amejaza mawaziri 5 kutoka Pwani mkoa masikini Tanzania nzima sisikii kelele, kujaza mawaziri 3 kutoka Tanga sisikii, kufukuza wakristo karibu wote baraza la Mawaziri na kuteua ndugu zake waislamu huwei kusikia malalamiko.
Magufuli endelea kupumzika kwa amani mzee wetu.
Huu mjadala unaonyesha hali ni tete sana!Kijana ametumwa kuvuruga upepo maana nchi imeharibika
CC Crimea 😂Gwajima na wasukuma wenzake wamefitinika. Mama amejua sana ku divide and rule Sukuma gang
Mwambie uongo wa Gwajima unazidi wa mjombabwake!?Furaha Dominic ambaye ni mtoto wa dada wa hayati Magufuli amesema haoni tofauti yoyote kati ya utawala wa mjomba wake na Rais wa sasa mh Samia.
Dominic ambaye aligombea ubunge Kawe amesema hajawahi kumuona mtu mwongo hapa duniani kama askofu Gwajima.
Kipindi kiko mubashara Star tv, karibu
Updates;
Ufalme umefitinikaCC Crimea 😂
Ohoo... Dogo anaharibu
Huyu si aliwania ubunge kimagumashi kama kuwaenjoy tu wananzengo, akawa anaongea kimapozi ya ki bill gate, yaani anaomba kura kama kwamba anawafanyia favour watu,,,Huyu Uncle Anapiga Free Kick Kutafuta Teuzi Tu
Furaha sio mpwa wa magufuli. Mama yake anaitwa asteria sugwa.
Itoshe tu kusema mjombawa furaha ni deus sugwa, msimamiz wa miradi ya john, conekt