Ramsy Dalai Lama
Senior Member
- Apr 5, 2021
- 156
- 554
Furaha iliyoje baada ya juzi juzi hapa kama siku chache zilizopita, nilimpigia simu mpenzi wangu kwa kutumia simu ya rafiki yangu. Alipokea simu tu na kusema "Mambo baby wangu" tena kwa sauti laini na ya mahaba.
Bila hata kusikia sauti yangu lakin alijua ni mimi. Kwa kweli nilijisikia furaha kuona mpenzi wangu kunitambua wakati sikuzungumza neno lolote. True Love ipo jamani. ❤️
Bila hata kusikia sauti yangu lakin alijua ni mimi. Kwa kweli nilijisikia furaha kuona mpenzi wangu kunitambua wakati sikuzungumza neno lolote. True Love ipo jamani. ❤️