- Thread starter
- #21
Mawazo mazuri 100%Kuipata furaha ni changamoto kubwa sana kwa binaadam wa kileo, Kukosa furaja kunahusisha mlolongo mrefu sana.
Jifunze kusahau mambo yaliyopita yaache kama yalivyo huwezi kuyabadili yaache angalia mbele.
Jisamehe wewe mwenyewe wasamehe wengine waliokukosea kwa kujua au kutokujua.
Usishikilie vitu moyoni kama hasira,wivu,kibri,uchoyo,unafiq,kusengenya nk..
Toa shukrani.
Kila siku shukuru kwa ajili ya familia ,Afya,Kazi,nk..taratibu hali itabadilika..tilia mkazo katika msamaha na usahau.