Mawazo mazuri 100%Kuipata furaha ni changamoto kubwa sana kwa binaadam wa kileo, Kukosa furaja kunahusisha mlolongo mrefu sana.
Jifunze kusahau mambo yaliyopita yaache kama yalivyo huwezi kuyabadili yaache angalia mbele.
Jisamehe wewe mwenyewe wasamehe wengine waliokukosea kwa kujua au kutokujua.
Usishikilie vitu moyoni kama hasira,wivu,kibri,uchoyo,unafiq,kusengenya nk..
Toa shukrani.
Kila siku shukuru kwa ajili ya familia ,Afya,Kazi,nk..taratibu hali itabadilika..tilia mkazo katika msamaha na usahau.
[emoji419]FACTFuraha ni nini? kila mtu ana jibu lake, ukijiuliza ukapata jibu lako basi rahisi kupata furaha, lakini kama utatumia majibu ya wengine basi kamwe hutoipata furaha
Una maana gani?
Ollachuga Oc ,
Ni namna nyingine ya kusema "ignorance is bliss". Kadiri mtu anavyoongezeka umri, hutegemewa kuwa "older and wiser". Udanganyifu wa dunia hii haumuwezi. Umri unavyoenda ndivyo anavyozidi kuubaini. Wengine huubaini udanganyifu wa maisha pale wawapo karibu na mauti. Wengine huwa na furaha wanapodanganyika. Maisha yao bila kudanganyika, hugeuka huzuni.
Mtu anayetajwa kuwa na hekima kuliko wote, alisema:
.
Msikilize katika audio hizi zifuatazo:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
(Mwisho kabisa anatoa ufumbuzi: )
Wimbo huu umeweka maneno hayo kwa muhtasari:
Huyu nimnufaika wa heslb.anadaiwa na heslb million 15+ ,ukiunganisha na changamoto za maisha ,lazma frustration iwe kiwango Cha SGR.Ulipokuwa chuo ulikuwa huna kitu lakini ulikuwa na furaha NI UWONGO MKUBWA... Ambao walikuwa hawana kitu hata chuo wameshindwa ku-Afford.
Cha kufanya mkuu kwanza ni gratitude(shukurani)Nashukuru kwa maelezo mazuri, nadhani wengi hatuijui hio nadharia ya furaha hutoka ndani...pengine chnagamoto ni kipi ufanye ili furaha itoke ndani?