Furaha ni utulivu wa mwili na roho

Furaha ni utulivu wa mwili na roho

mtu watu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,123
Reaction score
1,617
Furaha ni kitu ambacho hakishikiki. Furaha unaweza kuipata pale unapoamua wewe binafsi. Furaha hutafutwa na mhusika mwenyewe. Furaha ni utulivu ulio ndani ya nafsi ya mtu (Binadamu). Msingi wa Furaha ni utulivu wa Mwili na Roho.
Utulivu wa mwili na roho unatengeneza matumaini na upendo uliomo ndani ya nafsi. Msingi wa furaha ni Upendo, au Mapenzi ya Mtu. Kupuuzia, kudharau, kusahau na kusamehe, kupenda huongeza nafasi ya kupata furaha ya moyo.
 
Back
Top Bottom