Furaha ya bibi ni kuwa na bwana..................

Nimeipenda ya kuzaa na waume za watu.halafu unaendelea kivyako na sivinginevyo

bora umekuwa mkweli kulikoni wengineo ambao wanakuwa mbogo wanapokutanishwa na msema ukweli wa maisha ya mwanadamu.............
 

Kama ungekua unamaanisha hivyo tangu mwanzo hiyo "come and stay" usingeiita MBADALA.

Kubali tu kwamba umelikoroga maana kadiri unavyoendelea kupinga ulichosema ndivyo ulichoandika kinavyopoteza maana.
Mada yako kama ulivyotuletea mwanzo ilikua inaongelea wadada wasiotaka ndoa (ambayo ni tofauti na come stay per your own maelezo) kwahiyo unaporudi na kusema come stay ni ndoa unajichanganya. Na sisi tulipokua tunapinga ulichoandika hatukua tunapinga kwamba at some point mtu anaweza kuwa na hitaji la kuwa na mwanaume wake ili maisha yanoge ila tulikua tunapingana namsemo wako wa kwamba "wasioolewa hawana furaha."

Rudi usome tena ulichoandika mwanzo uone kama hakipingani na ulichoandika sasa. Au uedit ili ueleweke unaposimama sio unapelekeshwa na upepo wa wachangiaji.
 

nionavyo hujanielewa.........nilichosema ni wasifu wao siyo maoni yangu...............................na wasifu tajwa waweza kuwa na tofauti za hapa na pale................lengo langu lilikuwa kuipa minofu maoni ya wadada wa uingereza ambao wamekuwa wakijiuliza waionavyo ndoa katika karne hii ya 21..........................soma hapa kwanza halafu utaelewa kuwa sina maoni yangu binafsi hapo........
 
nimekaa kwenye ndoa miaka 6, I used to think kuwa furaha ya bibi ni kuwa na bwana na leo hii naomba kukanusha waziwazi I WAS SO WRONG. FURAHA YA BIBI NI KUISHI VILE ANAVYOTAKA. and this applies to BWANAS AS WELL. furaha ya mtu ni kuishi vile anavyojisikia kuishi. Maisha hayana instruction manual
 

ungelikuwa ni mwananmke ndiye anasema hivyo ningekuwa na la kuchangia.....................kila siku ninakutana na mabinti ambao hawanifichi ya kuwa kero yao hawana mabwana......................wakusaidiana kulisukuma gurudumu la maisha........................kwani upweke wauona ni umasikini mkubwa.................


 

Mimi ni mwanamke..... Wako sahihi pia.... ndio jambo litakalowapa furaha nakubali, lakini neno bwana pia umeligeneralize sanaaa (sema bwana of their dreams) coz hata chizi anaweza kuwa bwana, wapo ambao ndoa sio priority kwao na pia wanaishi kwa furaha
 

well, ningelifurahi kuwa ungelikuwa sahihi lakini maandiko matakatifu yanasema mwanamke ataolewa na mwanaumme yeyote yule hata chizi bali mwanaumme lazima amchague mwenzie........................soma Sirachi 36:21 " A woman has to take any man as a husband but a man must choose his wife carefully."

kwa lugha nyingine hata chizi lazima achague wa kwake kwa umakini mkubwa lakini mwanamke asubiri kuchukuliwa na yeyote yule ambaye atakuja usoni kwake........siamini ya kuwa kuna mwanamke mwenye furaha kwa kuishi mpweke........................kwa sababu hiyo ni kumaanisha aliyewaumba wawe mume na mke hana busara jambo ambalo haliwezekani kuwa Mwenyezi Mungu awe hana busara..................wale ambao wameridhika kuwa wapweke ni kwa kazi za kiroho tu.........................yaani huo ndiyo wito wao siye wengineo yatakuwa ni maumivu makali kutofautiana na busara za Muumba.............................................lol
 
Mimi ni old fashioned lady. Nina watoto wa kiume tu ambao nitawalea kwenye msingi kuwa ndoa ni moja ya sacrament muhimu. Ningependa either waoe au wawe mapadre si kuzaa hovyo hovyo.

Mamii unawajua vizuri mapadre au unawasikiaga tu wakihubiri uongo huko makanisani? Usije mshauri mwanao akawa padre utakua unajidanganya kama ni mzaa hovyo hata awe nani atafanya hivyo tu haijalishi
 
Mamii unawajua vizuri mapadre au unawasikiaga tu wakihubiri uongo huko makanisani? Usije mshauri mwanao akawa padre utakua unajidanganya kama ni mzaa hovyo hata awe nani atafanya hivyo tu haijalishi

walio wengi ni wanafiki sana.........................kitumbua wanakihitaji lakini na kazi ya uburuda nayo wanahitaji kwa maana ya kulinda unga wao..............
 
Maty ntake radhi; mi mapadre wangu hawana watoto.

wa jimbo lipi ili nikupe takwmimu zao kama ninawafahamu...........................lakini wengi ni ndumilakuwili ingawaje siyo wote............
 
mi nlikuwa najua furaha ya bibi ni kuwa na babu..!!?

hata babu ana ubwana ndani yake........................hasa ndani ya suruali yake.................au niseme akifungua zipu ya kaptula yake?
 
[h=1]Single women: an American obsession[/h] In certain parts of the US, or even just New York, there remains a weirdly monetised and loveless view of marriage. Enough!





Sex and the City's Carrie Bradshaw (Sarah Jessica Parker). Photograph: Henry Lamb/BEI / Rex Features

Ladies! How are your marriage prospects looking? Good? Bad? In need of an ironing? Perhaps if you alphabetise them they will look more enticing. Attractive. Bed, in possession of incredible skills in. Cute. Doesn't earn more than any prospective suitor. Excellent at phone sex. Fiercely desirous of marrying a man whose money will give you access to business class lounges for the rest of your days; etc. Aw, your marriage prospects look adorable arranged like that! You should get them covered in Cath Kidston fabric to make them as pretty as possible.
Or perhaps you have not considered your marriage prospects at all. Perhaps you have thought that the term "marriage prospects" sounds about as anachronistic and Austenian as "22in waist." Maybe you didn't even think that "marriageability" was a quality, let alone a quantifiable one, beyond, perhaps: "brushes teeth, occasionally has a bath, all else subjective."
Yet in the much discussed article in US magazine the Atlantic by Kate Bolick – republished last weekend in the Observer and already in inevitable talks of a TV spin-off – she describes why she and an intriguingly homogenous yet amorphous sounding group of women like her will never marry due to various marriageability issues. So let's discuss marriageability.
I am at an advantage here, being based in New York City. Marriage and one's marriageability tend to be presented here with a strange combination of pragmatic formality combined with hysterical fetishisation that Bolick perhaps inadvertently captured in her piece. There are many things one can say about how feminism has affected women's attitudes to marriage but one theory of Bolick's exemplified a certain attitude that makes so many depictions of marriage in the media here feel so retrograde. "American women as a whole have never been confronted with such a radically shrinking pool of what are traditionally considered to be 'marriageable' men – those who are better educated and earn more than they do. So women are now contending with what we might call the new scarcity." Yes, we might call it that, if one could only countenance consorting with men who earn more than oneself.
This weirdly monetised and loveless view of marriage in America will not surprise anyone who has gawped at the "Vows" section in the New York Times' Sunday edition. Photos of grinning couples sit atop detailed descriptions of not just their jobs and social standing ("Mr Jaeger, 28, works at Markit, a financial information services company in Manhattan, for which he heads product development for the index, exchange-traded-funds and research-data businesses," read one typically romantic entry from this weekend) but those of their parents ("His mother is a member of the board of trustees at the Jewish Museum of New York," another entry assures readers.) To read this section is like reading a satirical chapter of an Edith Wharton novel without a punch line, yet it is an established part of the paper, probably best known here for its appearance in an episode of Sex in the City, in which one of the characters frantically tries to be featured in it.
Clearly, Vows is no more representative of New York – let alone America – as a whole than Bridget Jones's daily life was of Britain, but it does reflect an attitude that plays into the fascination the American media has in single women. Such is the popularity of investigations into the enthralling mystery of single women that these articles are pretty much their own genre of journalism in America, characterised by gloomy warnings about the dangers of feminism, cod anthropological claims, regrets about leaving a nice man because the writer wanted an unspecified "more", self-flagellation dressed up as "honesty" about feminism and they are always – always – written by a woman.
Bolick's piece is a perfect example of this, as was Lori Gottlieb's similarly hoo-hahed 2008 article Marry Him!, also published in the Atlantic. The reason they attract so much attention is because the media love any stories that suggest independent women will be punished and because many women readers, in my experience, glob on to articles that voice their worst fears.
With meta irony, such an article was featured in Sex and the City just as that show itself became another example of self-flagellation with a feminist fig leaf when Carrie was featured in a piece titled, Single and Fabulous? – emphasis on the question mark.
One sees this less in Britain, beyond the pages of the Daily Mail, of course, which last week featured an article with the unimprovably hilarious headline, "Too sexy, too laid back, too independent … Why some women just AREN'T wife material." It's amazing the Daily Mail didn't self-combust after publishing that piece.
I would have thought that a far more damaging factor than a woman's career to her marriageability would be the broken nose caused by her head clunking down on the kitchen table when faced with another article about the foolhardiness of single women today.
Yet perhaps that is missing the point. Perhaps these articles, from the Atlantic to the Daily Mail, are all part of a plot to make single women feel better for having failed to "keep a man." While hanging out in a single-sex Dutch commune, as Bolick, nigh on parodically, does at the end of her piece might not be the happily ever after you dreamed of, it sure sounds better than being with the vision of humanity these articles present. This kind of talk reduces men to insecure throwbacks with machismo and ego issues, and women to conniving, venal fools. If those are the options, no wonder so many people aren't attending to their marriage prospects and would prefer to be alone.





 
[h=1]Divorce is no laughing matter[/h] As Robin Williams and John Cleese have recently demonstrated, ostentatious displays of resentment are a grim thing to behold





Actor Robin Williams has described the meaning of the word divorce as ‘to rip out a man's genitals through his wallet'. Photograph: Reed Saxon/AP

Divorce is the likely fate for almost half of all marriages. Which, if you can bear to be entirely cold-blooded about a hugely traumatic emotional event, makes it extraordinary that some people still manage to be so bad at it – and even more extraordinary that the bitterness of divorcees should be celebrated. This week, the Telegraph ran an interview with Robin Williams (who's on some sort of a promo junket for a new Zelda game, Skyward Sword), which was headlined with one of the actor's old gags about the emasculating effects of alimony.
"Ah yes, divorce, from the Latin word meaning to rip out a man's genitals through his wallet." (Presumably this was met with much high-fiving at Nintendo PR HQ: "We've got a page! It doesn't mention the game much, but there's a castration angle, which we think is very on-brand.") It's journalistically perverse to lead on a dredged-up line. But it's even more perverse to think that there was a time in Williams's career when it seemed like a smart or civil thing to wring comic material out of the dissolution of two relationships by likening paying maintenance to the mothers of his children to being violently desexed.
Even when the emotion seems justifiable, ostentatious displays of resentment are a grim thing to behold. John Cleese's 2009 divorce settlement has been publicised as costing him up to £20m – definitely enough to sting a bit. Yet when he launched the "alimony tour", claiming he'd been forced out of retirement to service the financial demands of his ex-wife, it all felt a bit unpleasant. There are plenty of personally aggrieved middle-aged people gladly laughing along as Cleese calculates the daily cost of his marriage, but if you find yourself looking on 16 years of marriage as nothing but a painful money pit, maybe you've been doing something wrong for a while.
Everyone who says the "till death" bit surely does it in good faith; but when 45% of unions bite it before either of their participants (according to the Office for National Statistics), it's a colossal act of delusion to imagine that you're going to be on the lucky side of the coin toss, and then be furious when things turn out otherwise. It is possible to divorce without taking away spite and bile with your part of the shared assets, if both parties are willing to co-operate. Paula Hall, relationship psychotherapist with Relate and author of How to Have a Healthy Divorce, suggests choosing solicitors who practice "amicable" law.

A marriage that ends in divorce doesn't suddenly become a marriage that's been bad for its duration. "People change and relationships change and sometimes it's just not possible for a couple to ensure they're changing in the same direction," says Hall. "When that happens it's probably better, however painful it might be, to shake hands, move on and be happy individuals." Divorcing doesn't mean you've failed at marriage. But if you're not able to let go, you've definitely failed at divorce.





 
la msingi ni kuwa furaha ya bibi ni kuwa na bwana awe ndani ya ndoa au hata "come and stay" bado dume linahitajika kwa bibi ajisikie kuwa naye kaaumbika kivikweli..........


Narudia tena kukuquote hapa Ruta, make a critical admissibility by referring to point no. 3 & 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…