Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko sisi wengine tunapitaga kimyakimya
Hahahahaah hatuna uzoefu
Tunaogopa ile sheriaHamna uzoefu wa kuyaandika mliyonayo ila mnajua mengi sana.
Ngoja na mimi mwezi ujao niweke kambi huko.Aiseee! Kweli lile jukwaa letu la umbea hakuna asiyepita! Tena mods hua wanatuangalia sana basi tu mwaka huu tunapumua sababu ya uchaguzi wamehamia siasasi kule sio sana.
Kipindi kile ban zilikua hazihesabiki!
Ngoja na mimi mwezi ujao niweke kambi huko.
Hahhahaaa baada ya ule muda kuisha eeh? Ile sheria ni msumeno utakata kotekote.
Na tukiona mambo magumu tutahamishia majeshi instagram.
Hahahaah. Kote watabana
Kule afadhali kidogo maana wambea ni wengi sana.
Huko safi basi ngoja nifanye mpango nami nijiunge huko ili niwe gwiji
Ki ukwel jf nainjoy sn...
Hahahahaaa ila ndugu ukitaka kujiunga jiunge kwa email address fake na hata jina (id) iwe fake pia ndio utakua na amani kidogo.
Hahahaah......kila kitu lazima kiwe feki
Hahahahaaa ila ndugu ukitaka kujiunga jiunge kwa email address fake na hata jina (id) iwe fake pia ndio utakua na amani kidogo.
Ama kweli s.i.ri k.al.i imeumiza wengi.Tatizo mnawasema sana.Ila msijali,ilimradi usiguse maslah yao
Na hatutaacha kuwasema, tutatafuta tu namna ya kujilinda na sheria hiyo.
karibu karibia JF