Mr Leo
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 604
- 1,269
Hongeraaa kama ni kweli kaka....natamani piaYaani mimi nisome kwa tabu hivi halafu niende kuajiriwa, nimerogwa? Yaani niwe nimemtesekea mtu, aje anifaidi kiulaini tu?! Nimemaliza miaka zaidi 10 iliyopita, na sijawahi kuomba kazi, na viwanja nanunua kila siku, na sijawahi kuwaona
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app