Yaani mimi nisome kwa tabu hivi halafu niende kuajiriwa, nimerogwa? Yaani niwe nimemtesekea mtu, aje anifaidi kiulaini tu?! Nimemaliza miaka zaidi 10 iliyopita, na sijawahi kuomba kazi, na viwanja nanunua kila siku, na sijawahi kuwaona
Yaani hii pesa sijawahi kupata wazo la kulipa hata siku moja.
Kwanza huwa inanipa faraja Kama ni sehemu ya gawio langu kwenye keki ya taifa, maana wanasiasa wanaziiba zaidi ya hizo.