johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Najikumbusha tu namna watu mbalimbali wanavyowapokea wapendwa wao wanapotoka jela.
Nelson Mandela alipotoka jela alipozuru Tanzania alipokelewa kwa furaha na Rais mstaafu mwalimu Nyerere pale Ikulu ya Magogoni. Na ninakumbuka Rais wa wakati huo mzee wetu Mwinyi alikuwa safarini.
Furaha ya kumpokea mtu atokaye jela inaweza kufanya protokali fulani fulani zisahaulike au zirukwe kwa nia njema.
Bado natafakari.
Maendeleo hayana vyama!