johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tatizo kubwa linatokea pale akili ndogo zipokuwa na mamlaka juu ya akili kubwa, hapo ndio mwanzo wa mgogoro, kwa kadiri akili kubwa inapojaribu kutumia ubunifu, maarifa na hekima katika kujipambanua ili izidi kueleweka, ndivyo ambavyo akili ndogo inazidi kuchanganyikiwa na kupumbazika, na hata kutumia mabavu zaidi ili izidi kuonyesha mamlaka yake juu ya akili kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado tumbo halijakata bwashee?Wakati Mandela anaachiwa huru wapigania uhuru wa afrika kina mzee Mugabe, Nyerere, Ramaphosa na wengineo walikuwa na uwezo wa kujikusanya na kwenda kumpokea hapo hapo gerezani. Lakini walijua sheria na kanuni wakasubiria mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app