Kama furaha yako inategemea pesa the same thing ikiisha ni sawa na hao watu wakiondoka unabaki kwenye huzuni ile ileNimesoma Nyuzi, Hapa Jamaa anasema Ndoa imemshinda,
Katika ulimwengu huu, Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe usitegemee kupata Furaha Kutoka kwa watu pasipo wewe kujipa Furaha.
Tumia Fedha Mali ulizo nazo kujipa Furaha, ila zingatia kua mwanadamu asiwe Sehemu ya Furaha yako.
Chagua Vitu ndo vie kipaumbele chako.
Pesa iwe ya kwanza maana itakupq Vitu utakavyo, pia Binadamu watakuja kwako, ila siku pesa ikiondoka nao wanaondoka
Ni heri kutegemea furaha kutoka kwa Mungu na pia kama ulivyosema ukiwa na mali ujipatie furaha.Nimesoma Nyuzi, Hapa Jamaa anasema Ndoa imemshinda,