Furaha ya Mwanamke inakutegemea wewe Mwanaume!

Ukitosheka ujue uu mfu
 
[emoji122][emoji122]
 
nondo kama hizi uwe unatushushia kila weekend
 
Mwanaume mwenye Furaha ni yule anayeishi kwenye

1: Moyo wa Mwanamke
2: Sala ya Mwanamke
3: Kumbukumbu ya Mwanamke

Ni ngumu kwa Mwanaume kuwa na amani kama kuna huzuni ndani ya moyo wa Mwanamke wake

Ni ngumu kwa Mwanaume kuwa mwenye baraka kama amesahaulika kwenye sala ya Mwanamke wake

Ni ngumu kwa Mwanaume kuwa na kesho nzuri kama kuna jeraha ameliacha kwenye kumbukumbu ya Mwanamke wake

Je, umeshawahi kujiuliza Furaha ya Mwanamke iko wapi?

Kwenye mioyo ya Wanaume? Hapana, wanaume hawajaumbwa na hisia za kudumu. Ni rahisi sana kubadilika. Mioyo yao ni rahisi kuingia kwenye matamanio

Kwenye sala ya mwanaume? Hapana. Tafiti zinaonyesha, kwa asilimia kubwa Wanaume hulalamika wanapozungumza na Mungu, hawaombi

Kwenye kumbukumbu? Si kweli, wanaume huwa na Moments sio Memories

Ni wapi Wanawake hupata Furaha zao? jibu ni KWENYE FURAHA ZA WANAUME

ONCE A MAN IS HAPPY, HIS WOMAN IS ALSO HAPPY

Wanawake hutengeneza furaha za Wanaume ili wapate furaha zao

Nini nataka tujifunze kutoka sasa? Tusiwape wakati mgumu Wanawake. They are struggling enough kwa ajili ya kutafuta Furaha zao....
 
Hakika mkuu
 


Nakubaliana na wewe 99%

1% ninayoikataa ni ya kipigo. Yaani nitafanya lolote kuhakikisha simfikishi mwanaume kwenye hatua ya kunipiga😥😥 Naogopa kipigo zaidi ya kitu chochote mimi

Na naamini wanaume wengi huwa wanaishia kupiga wanawake sababu ya wanawake kuongea sana na kuwapa majibu mabaya/dharau. Heri kunyamaza shetani apite tuyajenge tukiwa na utulivu kuliko kipigo 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
KUDOS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…