Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Nchi ina maumivu makubwa sana siku ya leo,nchi ina hasira kali sana siku ya leo nikiwepo mimi mwenyewe, maumivu ni makubwa sana kuliko unavyoweza elezea,Ni aibu kubwa sana kwa Rais wa CAF, nimejikuta namchukia kupita kiasi na kamwe siwezi kumpenda wala kuja kuiombea mema club yake ya Mamelodi kwa uhuni walioifanyia timu yetu ya wananchi kwa kuwapanga marefa watakao wabeba kwa mbeleko ya chuma.
Kwa hakika Afrika nzima imechukia na kulaani sanaa uharamia na unyang'anyi uliofanywa waziwazi na refa kwa kushirikiana na wahuni wenzake waliokuwa wamejipanga kuihujumu yanga yetu.kwa hakika maumivu ni makali sana ,ni hasira kila kona.hata wasauzi wenyewe wamechukizwa sana na uhuni uliofanywa na mipumbavu michache iliyokula pesa kwa ajili ya kuihujumu Yanga.
Li motsepe linaharibu mpira wa Afrika kwa kuipendelea na kuibeba kijinga timu yake linaloimiliki. Ni lazima jumuiya ya wanamichezo Afrika nzima waamke kwa pamoja kumshinikiza ajiuzulu kama ilivyokuwa kwa sefu Blata.motisepe ni li huni tu na lipumbavu linalopanga matokeo jinga hili. Lazima lishinikizwe kujiuzuru Urais wa CAF .jitu zima hovyo . akiendelea kusalia katika nafasi hiyo ataharibu sana mpira wa Afrika na kuvikatisha tamaa vilabu vingi sana.haiwezekani watu wawekeze halafu lenyewe linaleta uhuni wake na janja janja kwa kucheza na kuumiza hisia za watu kwa kupanga matokeo. ikiwezekana club ziweke msimamo wa kususia mashindano mpaka atakapojiuzuru nafasi yake.
Kumfungia na kumchukulia hatua refa haitasaidia kitu ikiwa huyu muhuni na mpumbavu ataendelea kusalia katika nafasi ya Urais.maana mwaka unaofuata atawaweka sawa marefa wengine ili kuibeba timu yake. hivyo mchezo wa kunyonga timu pinzani utaendelea kuwa huo huo na kilio mwaka hadi mwaka pale litimu lake linapokuwa limebanwa mbavu na kushindwa kupata ushindi wa halali uwanjani.
Nitaichukia Mamelodi siku zote na Rais Wake wakati wote mjinga mjinga huyu. Nimeumia na kuumizwa sana kwa namna tulivyoonewa yanga na kutokana na mipumbavu michache iliyoamua kuangalia mitumbo yao kwa vijisenti vya kulisha matumbo yao.
Club zisipoungana na kusimama pamoja zitaendelea kunyongwa na kuonewa mwaka hadi mwaka na huyu mpumbavu mmoja .ni lazima timu zote zisimame kwa pamoja kumkataa kuendelea kuongoza soka la Afrika. Leo kwa Yanga hatujui kesho kwa nani.