Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilichofanyiwa timu ya wananchi ndicho CCM inachotufanyia wananchi kwenye matokeo ya kura.Ndugu zangu Watanzania,
Nchi ina maumivu makubwa sana siku ya leo,nchi ina hasira kali sana siku ya leo nikiwepo mimi mwenyewe, maumivu ni makubwa sana kuliko unavyoweza elezea,Ni aibu kubwa sana kwa Rais wa CAF ,nimejikuta namchukia kupita kiasi na kamwe siwezi kumpenda wala kuja kuiombea mema club yake ya Mamelodi kwa uhuni walioifanyia timu yetu ya wananchi kwa kuwapanga marefa watakao wabeba kwa mbeleko ya chuma.
Kwa hakika Afrika nzima imechukia na kulaani sanaa uharamia na unyang'anyi uliofanywa waziwazi na refa kwa kushirikiana na wahuni wenzake waliokuwa wamejipanga kuihujumu yanga yetu.kwa hakika maumivu ni makali sana ,ni hasira kila kona.hata wasauzi wenyewe wamechukizwa sana na uhuni uliofanywa na mipumbavu michache iliyokula pesa kwa ajili ya kuihujumu yanga.
Li motsepe linaharibu mpira wa Afrika kwa kuipendelea na kuibeba kijinga timu yake linaloimiliki. Ni lazima jumuiya ya wanamichezo Afrika nzima waamke kwa pamoja kumshinikiza ajiuzulu kama ilivyokuwa kwa sefu Blata.motisepe ni li huni tu na lipumbavu linalopanga matokeo jinga hili. Lazima lishinikizwe kujiuzuru Urais wa CAF .jitu zima hovyo . akiendelea kusalia katika nafasi hiyo ataharibu sana mpira wa Afrika na kuvikatisha tamaa vilabu vingi sana.haiwezekani watu wawekeze halafu lenyewe linaleta uhuni wake na janja janja kwa kucheza na kuumiza hisia za watu kwa kupanga matokeo. ikiwezekana club ziweke msimamo wa kususia mashindano mpaka atakapojiuzuru nafasi yake.
Kumfungia na kumchukulia hatua refa haitasaidia kitu ikiwa huyu muhuni na mpumbavu ataendelea kusalia katika nafasi ya Urais.maana mwaka unaofuata atawaweka sawa marefa wengine ili kuibeba timu yake. hivyo mchezo wa kunyonga timu pinzani utaendelea kuwa huo huo na kilio mwaka hadi mwaka pale litimu lake linapokuwa limebanwa mbavu na kushindwa kupata ushindi wa halali uwanjani.
Nitaichukia Mamelodi siku zote na Rais Wake wakati wote mjinga mjinga huyu. Nimeumia na kuumizwa sana kwa namna tulivyoonewa yanga na kutokana na mipumbavu michache iliyoamua kuangalia mitumbo yao kwa vijisenti vya kulisha matumbo yao.
Club zisipoungana na kusimama pamoja zitaendelea kunyongwa na kuonewa mwaka hadi mwaka na huyu mpumbavu mmoja .ni lazima timu zote zisimame kwa pamoja kumkataa kuendelea kuongoza soka la Afrika. Leo kwa Yanga hatujui kesho kwa nani.
Watanzania ndio maana kuna kipindi walikua wanawatukana wachezaji wa aston villa kisa mbwana samatta hajapewa pasi kumbe bado upuuzi ule ule haujawatoka nyie nani mstolewe na bacca nae aliepaisha penati!Ndugu zangu Watanzania,

Kama wewe apoWengine ni wakuwasamehe tu maana unakuta mtu ni mgonjwa wa akili.
Mmhh!! Hili swali mbana unaliuliza Sanaa??Mngeshinda matuta ungesema mumeonewa?
🖕🖕🖕🖕🖕Sawa mmeonewa na kwenye kupiga penat alikuwepo Rais wa CAF
Huwezi kupata haki kama wewe hutendi haki, hakuna asiyejuwa kwamba kwenye ligi yetu mmekiwa mkinunua waamuzi ili wawabebe, Angalia match ya Namungo na Kagera magoli yake ni same kama la kwenu,, pia mmekuwa mnavirangua vilabu vya ligi juu na kujifanya et wadhamin, saiv mna Zaid ya vilabu 6, pia mmekuwa mkiloga waziwazi,, sasa kwa matukio hayo machache hatuwez mkabaki salama maana malipo yake ni hap hapa,,,,,, Tujipange tuache polojo kwenye football, tucheze mpira, tuache kulialia kusubili huruma, tungekuwa na uwezo basi jana tungefunga hata goal 3 tuone kama kwer watazikataa zoteTunachotaka ni haki itendeke na siyo habari za penati.kwani nani alikwambia kuwa tulikwenda kupiga penati saizi? Sisi tulikwenda kushinda ndani ya dakika za kawaida na siyo kwenda mpaka hatua za penati.
Usiwe na wasiwasi mama ni msikivu atalifanyia kazi.Ndugu zangu Watanzania,
Nchi ina maumivu makubwa sana siku ya leo,nchi ina hasira kali sana siku ya leo nikiwepo mimi mwenyewe, maumivu ni makubwa sana kuliko unavyoweza elezea,Ni aibu kubwa sana kwa Rais wa CAF, nimejikuta namchukia kupita kiasi na kamwe siwezi kumpenda wala kuja kuiombea mema club yake ya Mamelodi kwa uhuni walioifanyia timu yetu ya wananchi kwa kuwapanga marefa watakao wabeba kwa mbeleko ya chuma.
Kwa hakika Afrika nzima imechukia na kulaani sanaa uharamia na unyang'anyi uliofanywa waziwazi na refa kwa kushirikiana na wahuni wenzake waliokuwa wamejipanga kuihujumu yanga yetu.kwa hakika maumivu ni makali sana ,ni hasira kila kona.hata wasauzi wenyewe wamechukizwa sana na uhuni uliofanywa na mipumbavu michache iliyokula pesa kwa ajili ya kuihujumu Yanga.
Li motsepe linaharibu mpira wa Afrika kwa kuipendelea na kuibeba kijinga timu yake linaloimiliki. Ni lazima jumuiya ya wanamichezo Afrika nzima waamke kwa pamoja kumshinikiza ajiuzulu kama ilivyokuwa kwa sefu Blata.motisepe ni li huni tu na lipumbavu linalopanga matokeo jinga hili. Lazima lishinikizwe kujiuzuru Urais wa CAF .jitu zima hovyo . akiendelea kusalia katika nafasi hiyo ataharibu sana mpira wa Afrika na kuvikatisha tamaa vilabu vingi sana.haiwezekani watu wawekeze halafu lenyewe linaleta uhuni wake na janja janja kwa kucheza na kuumiza hisia za watu kwa kupanga matokeo. ikiwezekana club ziweke msimamo wa kususia mashindano mpaka atakapojiuzuru nafasi yake.
Kumfungia na kumchukulia hatua refa haitasaidia kitu ikiwa huyu muhuni na mpumbavu ataendelea kusalia katika nafasi ya Urais.maana mwaka unaofuata atawaweka sawa marefa wengine ili kuibeba timu yake. hivyo mchezo wa kunyonga timu pinzani utaendelea kuwa huo huo na kilio mwaka hadi mwaka pale litimu lake linapokuwa limebanwa mbavu na kushindwa kupata ushindi wa halali uwanjani.
Nitaichukia Mamelodi siku zote na Rais Wake wakati wote mjinga mjinga huyu. Nimeumia na kuumizwa sana kwa namna tulivyoonewa yanga na kutokana na mipumbavu michache iliyoamua kuangalia mitumbo yao kwa vijisenti vya kulisha matumbo yao.
Club zisipoungana na kusimama pamoja zitaendelea kunyongwa na kuonewa mwaka hadi mwaka na huyu mpumbavu mmoja .ni lazima timu zote zisimame kwa pamoja kumkataa kuendelea kuongoza soka la Afrika. Leo kwa Yanga hatujui kesho kwa nani.
Huu uhuni wa Motsepe unakera sanaNdugu zangu Watanzania,

Ndani ya ligi yetu kuna haki ? Au hapa ndani timu ndogo zikionewa ni sawa tu huko juu unataka haki .Matatu ndio nini.tunachotaka ni haki kutendeka katika mpira.ambao ni mchezo wa wazi na siyo kama karata.
Hahahahaha...umempiga konziMngeshinda matuta ungesema mumeonewa?
Hahahahaha..wakiwa huku wao wakubwa wanaonea wadogo..wakienda huko wao wadogo wanaonewqNdani ya ligi yetu kuna haki ? Au hapa ndani timu ndogo zikionewa ni sawa tu huko juu unataka haki .
Kwenye hili sakata siungi mkono malalamiko yako baada ya kufeli matuta.Hahahahaha...umempiga konzi
Hahahahaha..wewe ni kama mimi tu naamini ktk mchezo...kwa sababu Mamelody nao wanalalamika refa kawanyima penalty...Kwenye hili sakata siungi mkono malalamiko yako baada ya kufeli matuta.
Walitakiwa walalamike kabla ya matuta hapo ndio ingeleta maana nzuri.
Wakienda huko CAF na wakaenda kuulizwa, endapo wangeshinda matuta, wangepeleka malalamiko? Sijui watajibu vipi
Mla magimbiHakuna goli pale. Wataalamu wa kutumia na kuchambua magoli kwa VAR wamekata kuwa lile siyo goli. Halafu wewe mla mihogo wa Tandale unasema ni goli, huu si ni ukichaa?