Furaha ya Nchi hii imeshikiliwa na Mpira. Leo nchi haina furaha baada ya kufanyiwa uonezi Timu ya Wananchi

Hakuna goli pale. Wataalamu wa kutumia na kuchambua magoli kwa VAR wamekata kuwa lile siyo goli. Halafu wewe mla mihogo wa Tandale unasema ni goli, huu si ni ukichaa?
 
Ilichofanyiwa timu ya wananchi ndicho CCM inachotufanyia wananchi kwenye matokeo ya kura.
 
Watanzania ndio maana kuna kipindi walikua wanawatukana wachezaji wa aston villa kisa mbwana samatta hajapewa pasi kumbe bado upuuzi ule ule haujawatoka nyie nani mstolewe na bacca nae aliepaisha penati!
 
Mpira ndio dini moja iliyotabiriwa kumuabudu shetani kupitia mpira
 
Tunachotaka ni haki itendeke na siyo habari za penati.kwani nani alikwambia kuwa tulikwenda kupiga penati saizi? Sisi tulikwenda kushinda ndani ya dakika za kawaida na siyo kwenda mpaka hatua za penati.
Huwezi kupata haki kama wewe hutendi haki, hakuna asiyejuwa kwamba kwenye ligi yetu mmekiwa mkinunua waamuzi ili wawabebe, Angalia match ya Namungo na Kagera magoli yake ni same kama la kwenu,, pia mmekuwa mnavirangua vilabu vya ligi juu na kujifanya et wadhamin, saiv mna Zaid ya vilabu 6, pia mmekuwa mkiloga waziwazi,, sasa kwa matukio hayo machache hatuwez mkabaki salama maana malipo yake ni hap hapa,,,,,, Tujipange tuache polojo kwenye football, tucheze mpira, tuache kulialia kusubili huruma, tungekuwa na uwezo basi jana tungefunga hata goal 3 tuone kama kwer watazikataa zote
 
Usiwe na wasiwasi mama ni msikivu atalifanyia kazi.
 
Huu uhuni wa Motsepe unakera sana
 
Ndani ya ligi yetu kuna haki ? Au hapa ndani timu ndogo zikionewa ni sawa tu huko juu unataka haki .
Hahahahaha..wakiwa huku wao wakubwa wanaonea wadogo..wakienda huko wao wadogo wanaonewq
 
Mmhh mi sija umia ndugu furahaaaaa Tele hapa ukizoea kuiba jua kuna kuibiwa pia via Kagera sugar
Karma nchi Ile Ile hatua Ile Ile robo fainal Simba Vs Orlando, clear offside Orlando alifunga goli mshambuliaji mghana pape kwame alikua offside na VAR ilikuepo refa akwenda kuangalia VAR na mwisho Simba aka ondoshwa Kwa penati
Uto wakashangulia na kuruka ruka kama chura majini
Amini Kwamba malipo ni hapa nchi Ile Ile hatua Ile Ile goli linakataliwa refa aendi VAR na uto ana ondoka Kwa penati yani ni mule mule malipo ni hapa chini ya jua
 
Hahahahaha..wewe ni kama mimi tu naamini ktk mchezo...kwa sababu Mamelody nao wanalalamika refa kawanyima penalty...

Wangeshinda matuta humu stori ingekuwa nyingine na yule Rowens na Rulan wangeshambuliwa sana humu
 
Bora mmetolewa,, mngefungwa kihalali isingewauma,, ila mmetolewa kikatili ,, safi sana refa,, shikilia hapohapo,,

Utani ni kukucheka hasa pale ukipata maumivu 🤣🤣🤣
 
Hakuna goli pale. Wataalamu wa kutumia na kuchambua magoli kwa VAR wamekata kuwa lile siyo goli. Halafu wewe mla mihogo wa Tandale unasema ni goli, huu si ni ukichaa?
Mla magimbi
 
Reactions: G4N
Mtaleta kila aina ya mada lakini jibu ni kwamba wote simba na Yanga wameishia robofainali.
Nyingine ni porojo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…