Furaha ya Nchi hii imeshikiliwa na Mpira. Leo nchi haina furaha baada ya kufanyiwa uonezi Timu ya Wananchi

Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
 
Nimeumia sana Yanga yangu kuonewa🥺💚💛
Tokea jana siwezi hata kula...😑
Mbona hujaniambia sasa mimi mwananchi mwenzako nije kukulisha mtoto mzuri!! 😎
 
Ila wachezaji wa Yanga nao waliponzwa na ugeni wa mashindano. Wangeenda kumzonga mwamuzi ili akaangalie VAR, naamini wangekubaliwa lile goli.
Tugange yajayo,
Daima mbele nyuma mwiko!!💛💚
 
Turudi jukwaani kwetu kule,CCM ina wenyewe na wenyewe ndiyo hawa mabon taun,nyie wengine anzisheni vyama vyenu,sauti imesikika loud and clear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…