Ahsante, Amina/Amin kwa sote chief MwifwaHeri siku ya kuzaliwa Beberu Mwitu uishi miaka mingi hadi ujionee wivu mwenyewe ili usisumbue wengine wakuonee wivu..
Nashukuru sana dada wa faida Sakayo Shunie nashukuru sana, nami nawapenda pia [emoji120][emoji120][emoji120]Happy birthday day kakangu wa faida!
Hongera kwa kuongeza umri, hakika Mungu ni mwaminifu sana kwako! Zidi kumshukuru kwa kila khali!
Naomba nikutakie maisha marefu yenye amani, furaha na mafanikio!
Nakupenda ALI, Nakupenda kaka!
Happy birthday to you!
Ahsante ahsante chief troublemaker [emoji120][emoji120][emoji120]Happy birthday beberu wa afrika
Karibu tenaAhsante ahsante ndugu, nashukuru sana [emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji39][emoji39][emoji39]Namshukuru Muumba kwa kunifikisha kutimiza mwaka mwengine tena wa kusherehekea kuongeza umri niloishi hapa duniani nikiwa na siha na afya njema, kwani ni Muumba pekee ndio muweza wa kila kitu. Wengi walitamani nao waongeze umri walioishi hapa duniani ila Muumba hakujaalia hivyo. Shukrani za pekee kwa wazazi wangu kwa kunilea kwenye malezi mazuri hadi kufikia hapa nilipo, Namuomba Mwenyezi Mungu awalipe ujira ulio bora wazazi wangu kwa yale waliyopitia katika malezi yangu. Awajaalie kauli thabit Baba yangu, ndugu, jamaa na marafiki waliokwishatangulia mbele ya haki na amjaalie umri mrefu mama yangu, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki. Atuepushie kila yenye shari na atujaalie kila yenye kheri. Alhamdulillah.
Happy birthday kwangu ALI a.k.a Beberu Mwitu
[emoji323][emoji323][emoji323][emoji322][emoji322][emoji322][emoji120][emoji120][emoji120][emoji322][emoji322][emoji322][emoji323][emoji323][emoji323]
Cc: chiqutitta Sakayo Da'Vinci Clkey Shunie troublemaker
Naona umekaziaHappy birthday beberu wa afrika
Amen Amen!Tubarikiwe kwa sote dada wa faida[emoji120][emoji120]
[emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]View attachment 1129704
Wahuni sio watu chief, waambie waje huku [emoji16][emoji16] siku tatu kwa gari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Bahati mbaya uko mbali ningekuletea wahuni[emoji23][emoji23]
Kaka wa faida! Hiyo keki tusinyimane jamani[emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]View attachment 1129704
Utaiweza ndugu? Kipande kidogo tu uko hoi hii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Kaka wa faida! Hiyo keki tusinyimane jamani
Ikishaitwa keki mie naiweza saaana akiUtaiweza ndugu? Kipande kidogo tu uko hoi hii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Sawa kakangu! Yesu akutunze tuu jamaniKama nilovyoahidi, usijali[emoji106][emoji106][emoji106]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Kama nilijua chief maana ndani ya muda huu nilitaka kukutaja, nashukuri sana chief [emoji120][emoji120][emoji120]ahsante[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]Happy Birthday Ally Mzungu.