Furaha ya siku ya kuzaliwa

Furaha ya siku ya kuzaliwa

Happy birthday day kakangu wa faida!
Hongera kwa kuongeza umri, hakika Mungu ni mwaminifu sana kwako! Zidi kumshukuru kwa kila khali!

Naomba nikutakie maisha marefu yenye amani, furaha na mafanikio!

Nakupenda ALI, Nakupenda kaka!

Happy birthday to you!
Nashukuru sana dada wa faida Sakayo Shunie nashukuru sana, nami nawapenda pia [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Namshukuru Muumba kwa kunifikisha kutimiza mwaka mwengine tena wa kusherehekea kuongeza umri niloishi hapa duniani nikiwa na siha na afya njema, kwani ni Muumba pekee ndio muweza wa kila kitu. Wengi walitamani nao waongeze umri walioishi hapa duniani ila Muumba hakujaalia hivyo. Shukrani za pekee kwa wazazi wangu kwa kunilea kwenye malezi mazuri hadi kufikia hapa nilipo, Namuomba Mwenyezi Mungu awalipe ujira ulio bora wazazi wangu kwa yale waliyopitia katika malezi yangu. Awajaalie kauli thabit Baba yangu, ndugu, jamaa na marafiki waliokwishatangulia mbele ya haki na amjaalie umri mrefu mama yangu, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki. Atuepushie kila yenye shari na atujaalie kila yenye kheri. Alhamdulillah.
Happy birthday kwangu ALI a.k.a Beberu Mwitu
[emoji323][emoji323][emoji323][emoji322][emoji322][emoji322][emoji120][emoji120][emoji120][emoji322][emoji322][emoji322][emoji323][emoji323][emoji323]

Cc: chiqutitta Sakayo Da'Vinci Clkey Shunie troublemaker
[emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
IMG-20190617-WA0002.jpeg
 
Happy Birthday Ally Mzungu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Kama nilijua chief maana ndani ya muda huu nilitaka kukutaja, nashukuri sana chief [emoji120][emoji120][emoji120]ahsante[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom