Furaha yako

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Kuwa na furaha ni uamuzi tu.

Hakuna kitakachokufurahisha hadi uchague mwenyewe kuwa na furaha.

Una furaha kwa kuwa umeamua kuwa na furaha. Usitegemee wengine kukufanya uwe na furaha.

Unawajibika kwa furaha yako. Zipo siku unaweza kuwa na dhiki ila unaweza kuchagua kuwa na furaha ili kukabiliana na changamoto zote.
 
Kabisa hakuna kitu kikubwa kama kuweza kumiliki furaha yako!
 
Kumbe kuna muda zina charge, good girl!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…