Furaha yangu ya Yanga kuchukua kombe imekatishwa na kauli tata ya kocha msaidizi Cedric kaze

Si haba, kuna uwezokana kuna matatizo mengi kwenye management ya Yanga. Tatizo kama ya Fei Toto yameshamiri ndani ya club.
 
Kama uliangalia vizuri baada ya mechi Kocha Nabi alikwenda kuwapa mkono wa kwaheri mashabiki wa Yanga.Hiyo ni ishara kuwa Nabi anaondoka Yanga pamoja na Kaze...destination yao inaweza kuwa south Africa au Africa ya kaskazini.
Bro una jicho kali
 
Si haba, kuna uwezokana kuna matatizo mengi kwenye management ya Yanga. Tatizo kama ya Fei Toto yameshamiri ndani ya club.
Matatizo huwa hayajifichi.
Pili hakuna kazi isiyo na vikwazo.
Mwanaume huwezi kukimbia matatizo bali kuyakabili.

Ukiona mtu aitwa shujaa maana yake ameshinda matatizo mengi
 
Pluijm, Ernie Brandts n.k walikuwa na vikosi vya kawaida na timu ikawa nzuri, Nabi ana kikosi cha gharama, ujuzi amesaidia kwa sehemu kubwa sikatai ila uwekezaji ulimbeba zaidi.

Atakuja tu kocha mwingine mzuri zaidi.
Nakubali kukosolewa ila Pluijm hakuwa na kikosi Cha kawaida maana nakumbuka ndio kina Yondani na Canavaro walikuwa vijana kabisa,Msuva na Tambwe walikuwa vijana kabisa na kwangu mi naona Yanga haijawahi kupata kikosi kama kile hivi karibuni
Mrisho Ngasa japo alikuwa anayumba yumba
 
Baada ya Ruto kuingia nadhani wamereconcile na CAF kama sijakosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…