Furaha yangu ya Yanga kuchukua kombe imekatishwa na kauli tata ya kocha msaidizi Cedric kaze

Hapa Africa Mashariki ukiondoa Al Hilal ya Sudani, hakuna team yenye misuli kiuchumi kiasi cha kubaki na kocha anayewindwa na team za kasikazini au Afirika Kusini.

Hizi nchi zetu ni sehemu ya makocha kutengeneza majina na CV, Nabi hawezi kuichagua Yanga akaacha mihela ya maana huko kwingine, labda kusiwe na offer yoyote iliyokuja.
 
Ngoja tuone nini kitafata.
 
Natoa pongezi za dhati kabisa kwa Yanga sc kubeba kombe la Azam shirikisho baada ya kuichapa Azam Fc kwa bao moja kwa mtungi.

NALIA NGWENA nilikua nafuraha kubwa lakini furaha yangu imekatishwa na kocha msaidizi wa Yanga Cedric.

Mwandishi "msimu ujao tutegemee mtihani mkubwa wa kufikia/ kufanya zaidi ya hapa kwa kupata mafanikio Kama haya mliyoyapata mwaka huu??

Cedric Kaze "mtihani watakuwepo nao hao watakao kuja maana sisi tumemaliza mkataba nafikiri hao watakao kuja Yanga sc ndiyo watakua na mtihani"

Hilo jibu la Kaze limenifanya nigundue kua mwamba anasepa, na Kama anasepa ni peke yake au Nabi nae kiukweli furaha yangu imepotea gafla.

Nawasilisha hoja.
Acha kumtegemea mwanadamu wee ngwena Ni ujinga tu

Wacha waondokee watakuja wengine wengi
SAS Kama wanalazimishwa walipwe mabilion ya pesa na gsm Kwan wasiondokee wasepa tu
 
Kwanza asingeweza kusema kuwa atahusika msimu ujao ilihali mkataba huo hawana.

Lakini la pili, Dunia Ina watu wengi na vipaji tofauti kwa nyakati tofauti, nadhani sio vizuri kudhani hamuwezi kufanikiwa kisa ni Fulani.

Ila Imani yangu, basing kwa kazi nzuri walioyofanya, sidhani kama klabu itawaacha, labda waamue kupandisha dau la kukomoa.
Hakuna Dau La Kukomoa Mkuu, Watu Hutaja Dau Wanalostahili
 
Nje ya mada.
Hivi mbona kuna baadhi ya timu toka nchi kama kenya sionagi zikishiriki klabu bingwa.
Walifungiwa na CAF mkuu baada ya mpira wao kuuchanganya na siasa.

Serikali ilifanya Figisu ya kumchomoa Raisi wa shirikisho la soka lao na kumuweka mtu kutoka serikali jamaa akashitaki CAF na CAF walipojiridhisha wakapiga Bann kimataifa Sasa wanacheza nchini mwao tu.
 
Nje ya mada.
Hivi mbona kuna baadhi ya timu toka nchi kama kenya sionagi zikishiriki klabu bingwa.

Mwaka juzi ligi yao ilikula nyundo kutoka FIFA bado sijajua kama hilo sakata limeisha, ila kabla ya hapo team za kenya zimeshiriki sana michuani ya CAF (haswa GorMahia) na zikawa zinaishia hatua ya Playoffs kama Yanga kabla ya msimu huu waliofika fainali CAFCC.
 
Acha kumtegemea mwanadamu wee ngwena Ni ujinga tu

Wacha waondokee watakuja wengine wengi
SAS Kama wanalazimishwa walipwe mabilion ya pesa na gsm Kwan wasiondokee wasepa tu
Pole sana hakuna aliyemtegemea aise Soma vizuri andiko.

Najaribu kuwaza namna gani kocha gani atashika mikoba ya Nabi
 
Natoa pongezi za dhati kabisa kwa Yanga sc kubeba kombe la Azam shirikisho baada ya kuichapa Azam Fc kwa bao moja kwa mtungi.

NALIA NGWENA nilikua nafuraha kubwa lakini furaha yangu imekatishwa na kocha msaidizi wa Yanga Cedric.

Mwandishi "msimu ujao tutegemee mtihani mkubwa wa kufikia/ kufanya zaidi ya hapa kwa kupata mafanikio Kama haya mliyoyapata mwaka huu??

Cedric Kaze "mtihani watakuwepo nao hao watakao kuja maana sisi tumemaliza mkataba nafikiri hao watakao kuja Yanga sc ndiyo watakua na mtihani"

Hilo jibu la Kaze limenifanya nigundue kua mwamba anasepa, na Kama anasepa ni peke yake au Nabi nae kiukweli furaha yangu imepotea gafla.

Nawasilisha hoja.
Ulitaka aseme uongo kama wabongo ujanja ujanja wwenu.
 
Back
Top Bottom