Furaha yatawala Iran kuwashambulia Israel, tutegemee shinikizo kwa Israel kusitisha vita kipigo kikikolea?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza kupiga target.

Ni furaha kama ile ya 7 October mwaka jana Palestina ilipoishambulia Israel lakini baada ya muda mchache tukaanza kusikia vilio, maandamano ya free palestine na UN kuishinikiza Israel kusitisha vita.

Ni pale Israel wakianza kujibu mapigo sambamba na yule mwenzake aliekuwa anasubiri siku hii ifike Iran kuishmambulia Israel moja kwa moja, tutegemee vilio, maandamano ya Pray for iran na UN kuishinikiza Israel kusitisha vita?
 
Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza kupiga target.

Ni furaha kama ile ya 7 October mwaka jana Palestina ilipoishambulia Israel lakini baada ya muda mchache tukaanza kusikia vilio, maandamano ya free palestine na UN kuishinikiza Israel kusitisha vita.

Ni pale Israel wakianza kujibu mapigo sambamba na yule mwenzake aliekuwa anasubiri siku hii ifike Iran kuishmambulia Israel moja kwa moja, tutegemee vilio, maandamano ya Pray for iran na UN kuishinikiza Israel kusitisha vita ?
Tuliotizama news wameonesha watu wachache wamebeba bendera ndefu ya palestina and mitaa mingi usiku haikuwa na watu..
 
Kwa nini anamuomba asijibu?
Vita itaenea middle East yote.. Iran keshaanza kumtiaha Jordan. And kila kombora lazima lipote nchi kadhaa kabla ya target so hizo nchi za kati zikitungua makombora ndani ya nchi zao zitaonekana zimo vitani nazo so target zinabadilika mwishowe nazo zitajibu itakuwa chaos eneo lote
 
Basi Iran ni wajinga walioingia mtegoni.Wanakimbiza mwenge eneo lilipoanguka tank la mafuta.
 
Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza kupiga target.

Ni furaha kama ile ya 7 October mwaka jana Palestina ilipoishambulia Israel lakini baada ya muda mchache tukaanza kusikia vilio, maandamano ya free palestine na UN kuishinikiza Israel kusitisha vita.

Ni pale Israel wakianza kujibu mapigo sambamba na yule mwenzake aliekuwa anasubiri siku hii ifike Iran kuishmambulia Israel moja kwa moja, tutegemee vilio, maandamano ya Pray for iran na UN kuishinikiza Israel kusitisha vita ?
Soon Vilio vitasikika humu JF muda si mrefu na hivi sabato yao imeisha hawa wayahudi wamezoea vita si wavaa dera...
 
Hayo mawazo kwa dunia ya teknolokia kwa nini usiyatupilie mbali?
Israel hawezi kupigana hata na Al shabab hii ni uhakika 100% ... US na British ndio wanamtetea hata teknolojia hana kama mnavyodanganywa😅😅😅.

Angalia targets hizo kwanza hakuna hospitals , synagogues wala sehemu za watu ...
 
Atajibiwa na Usa na British,... Israel hawezi hata kupigana na Al shabab.

Dunia haiwezi kuwa salama milele kama kila mtu akitaka kuonyesha umwamba ,Iran kalipiza sio mchokozi...Utakuja kutuwa kidole utakaaa kimya mwisho wa siku utakuwa gasho kabisa.

Marekani waliua kiongozi wa Iran jamaa wakalipiza .

Dunia ukiwa mnyonge kwisha .
Lini marekan iliua kiongozi wa iran
 
Iran ni lidude kuubwa sana. Usiichukulie poa.

Waliweza kupindua meza kwenye vita ya iraq-Iran iliyopiganwa kwa miaka 8 mpaka Iraq ya Sadam ikagwaya. Wapo resilient sana.

Vita ya Israel vs Iran ikianza, itakuwa ya muda mrefu na itakuwa na madhara makubwa kwa pande zote mbili na kwa dunia nzima.
Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza kupiga target.

Ni furaha kama ile ya 7 October mwaka jana Palestina ilipoishambulia Israel lakini baada ya muda mchache tukaanza kusikia vilio, maandamano ya free palestine na UN kuishinikiza Israel kusitisha vita.

Ni pale Israel wakianza kujibu mapigo sambamba na yule mwenzake aliekuwa anasubiri siku hii ifike Iran kuishmambulia Israel moja kwa moja, tutegemee vilio, maandamano ya Pray for iran na UN kuishinikiza Israel kusitisha vita ?
 
Iran ni lidude kuubwa sana. Usiichukulie poa.

Waliweza kupindua meza kwenye vita ya iraq-Iran iliyopiganwa kwa miaka 8 mpaka Iraq ya Sadam ikagwaya. Wapo resilient sana.

Vita ya Israel vs Iran ikianza, itakuwa ya muda mrefu na itakuwa na madhara makubwa kwa pande zote mbili na kwa dunia nzima.
Mmmmhhhh?
 
Back
Top Bottom