Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mbona iran anamtuhumu israel alafu wewe unasema ni marekani acha kutumia hisiaUmeanza kutumia smartphone lin? Yule soleiman alipigwa bomb karibu karibu na helicopter yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona iran anamtuhumu israel alafu wewe unasema ni marekani acha kutumia hisiaUmeanza kutumia smartphone lin? Yule soleiman alipigwa bomb karibu karibu na helicopter yake.
Israel hana uwezo zile kombora za mmarekani ...Zile ni shutuma na iran alipiga kambi ya USA sio Israel.Mbona iran anamtuhumu israel alafu wewe unasema ni marekani acha kutumia hisia
Aaah huyo nae hana lolotePutin ~ Tutaisapoti Iran ikiwa marekanj itaingilia kati.
Ndio maana Marekani huwa anaweka military base zake karibu na washirika wake ili kurahisisha mashambulizi kwa adui zake. Sasa hapo itategemea nani ana base katika nchi inayopakana na adui yakeMkuu kijiografia Iran iko mbali sana! Uwezekano wa Israel kupenya anga yake kirahisi kama inavyofanya Gaza ni mdogo.
Pili bila washirika UK na US kutia mguu Israel pekee yake haiwezi.
Marekani hapa anacheza game of mind ,kama anajitoa fulani ili ampige Iran bila ya kupata shambulio.
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1779352934666617288?s=19
Iran kijiografia iko mbali na Israel mbona imerusha makombora hadi Israel.Ndio Israel Ishindwe.?Mkuu kijiografia Iran iko mbali sana! Uwezekano wa Israel kupenya anga yake kirahisi kama inavyofanya Gaza ni mdogo.
Pili bila washirika UK na US kutia mguu Israel pekee yake haiwezi.
Hakuna vita rahisi kama ya kupigana na Iran moja haivi na nchi wanazopakana naye pili ana upinzani mkali wa ndani wairan hawaitaki serikali ya Ayatollah hivyo kuibuka upinzani wa ndani na nchi jirani rahisi tuVita ya Israel vs Iran ikianza, itakuwa ya muda mrefu na itakuwa na madhara makubwa kwa pande zote mbili na kwa dunia nzima.
Kwa hiyo kupigana na Iran ni vita rahisi, kwa sababu hizo ulizozisema?Hakuna vita rahisi kama ya kupigana na Iran moja haivi na nchi wanazopakana naye pili ana upinzani mkali wa ndani wairan hawaitaki serikali ya Ayatollah hivyo kuibuka upinzani wa ndani na nchi jirani rahisi tu
Miezi sita inatosha hadi kusimika serikali mpyaKwa hiyo kupigana na Iran ni vita rahisi, kwa sababu hizo ulizozisema?
Inaweza kuchukua siku ngapi hiyo vita rahisi hadi Iran kuchakaa?
Jiulize kwanini USA na UK wanaopigania Israel? Kihoro kimeshaanza subirini majibu , mtakimbiana humu.Israel hawezi kupigana hata na Al shabab hii ni uhakika 100% ... US na British ndio wanamtetea hata teknolojia hana kama mnavyodanganywa😅😅😅.
Angalia targets hizo kwanza hakuna hospitals , synagogues wala sehemu za watu ...
Kama Iran ameweza kutuma stones na misile zinafika Israel.Je Israel ndio atashindwa?Kwa hiyo kupigana na Iran ni vita rahisi, kwa sababu hizo ulizozisema?
Inaweza kuchukua siku ngapi hiyo vita rahisi hadi Iran kuchakaa?
ila kuna watu wajinga dunia hiiWa kujibu ni Israel au US .!!?
Hi nalo nenoKama Iran ameweza kutuma stones na misile zinafika Israel.Je Israel ndio atashindwa?