Furaha yatawala Iran kuwashambulia Israel, tutegemee shinikizo kwa Israel kusitisha vita kipigo kikikolea?

Mtoa hoja ukweli ndio muhimu,drones na ballistic kutoka Iran hakuna iliyopiga hata target moja ndani ya Israel,drones hizi zote zimepigwa nje ya anga la Israel always ukweli utamalaki ILA vita sio kitu cha kufurahia na kukipa ushabiki ,mpaka wetu na Mozambique sio salama ,binafsi nimefurahia kwa jeshi letu ku hold line ya mpaka wetu,sio kupeleka wapiganaji wetu ndani ya Mozambique,operation safisha ilitu cost sana,wameamua kupigana tuachane nao
 
Mkuu kijiografia Iran iko mbali sana! Uwezekano wa Israel kupenya anga yake kirahisi kama inavyofanya Gaza ni mdogo.
Pili bila washirika UK na US kutia mguu Israel pekee yake haiwezi.
Ndio maana Marekani huwa anaweka military base zake karibu na washirika wake ili kurahisisha mashambulizi kwa adui zake. Sasa hapo itategemea nani ana base katika nchi inayopakana na adui yake
 
Mkuu kijiografia Iran iko mbali sana! Uwezekano wa Israel kupenya anga yake kirahisi kama inavyofanya Gaza ni mdogo.
Pili bila washirika UK na US kutia mguu Israel pekee yake haiwezi.
Iran kijiografia iko mbali na Israel mbona imerusha makombora hadi Israel.Ndio Israel Ishindwe.?
 
Vita ya Israel vs Iran ikianza, itakuwa ya muda mrefu na itakuwa na madhara makubwa kwa pande zote mbili na kwa dunia nzima.
Hakuna vita rahisi kama ya kupigana na Iran moja haivi na nchi wanazopakana naye pili ana upinzani mkali wa ndani wairan hawaitaki serikali ya Ayatollah hivyo kuibuka upinzani wa ndani na nchi jirani rahisi tu
 
Kwa hiyo kupigana na Iran ni vita rahisi, kwa sababu hizo ulizozisema?
Inaweza kuchukua siku ngapi hiyo vita rahisi hadi Iran kuchakaa?
 
Israel hawezi kupigana hata na Al shabab hii ni uhakika 100% ... US na British ndio wanamtetea hata teknolojia hana kama mnavyodanganywa😅😅😅.

Angalia targets hizo kwanza hakuna hospitals , synagogues wala sehemu za watu ...
Jiulize kwanini USA na UK wanaopigania Israel? Kihoro kimeshaanza subirini majibu , mtakimbiana humu.
 
Ukiona hivyo ujue Ukreni hali mbaya. Marekani amemwajiri Iran kwa muda ili aelekeze mawazo ya wasikilizaji Mashariki ya Kati.

NB: Siasani hakuna marafiki wala maadui wa kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…