Mbona mimi nina furaha! Nasubiri msusie na ubunge mwakani,na urais pia msusie,hatuna habarii..watu hatuna furaha, aliyeshinda ana hofu , aliyejitoa anaogopa kutekwa na kuuwawa na "walinzi wa kijani" , walio kaa kimya wanahofu hata kuonyehs uchama wao, nchi hii kwa sasa ili uwe na amani kuwa mshabiki wa KWAYA tu
Watu hawajali tena hizo siasa uchwara aisee...kila mtu anapambana kwa ajili ya hali yake na familia yake.....Hahaha Mkuu unaandika vitu visivyokwepo
Watanzania wanaendelea na shughuli zao wala hawana mawazo mgando km yako
Mmmmh....mbona hata mimi sina furaha wakati ni mwanaCCM tena hai?? Uchaguzi ulivurundwa na kufanywa wa kidhuluma ya kidemokrasia na ubabe wa kidola kupitia wizara husika. Waliopitishwa hata wao hawana ujasiri wa kujisifia au kifurahia kupachikwa kwao.Hongereni Ccm kwa kuwabwaga Wapinzani wenu
Hawataki kuamini kama Wananchi wamewapuuza, wamejificha kwenye kivuli cha kulaumu Rais
Wewe ndo nikushauri upanue mawazo yako think beyond , hivi unajua kuna tofauti kati ya kumtumikia MUNGU na dini kama taasisi??Kama ukatoliki siyo madhabahu ya Mungu basi hata Biblia inapoteza sifa za neno la Mungu,
Panua akili usipanue mdomo
Nimeiona point yako!Tangu lini katoliki ikawa na madhabahu ya bwana?hapo ndipo mnachanganya kati dola ya kirumi iliyonajisi kanisa na kanisa takatifu la mungu!!!
Katoliki wana biblia yao!Kama ukatoliki siyo madhabahu ya Mungu basi hata Biblia inapoteza sifa za neno la Mungu,
Panua akili usipanue mdomo
ww ni msabato, ? sitii neno hapo, ila magufuli kajitahidi sana hadi CHaDEMA wamemkimbia kuogop aibu hongera sana jpm hongera ccm kwa ushidi mnonoTangu lini katoliki ikawa na madhabahu ya bwana?hapo ndipo mnachanganya kati dola ya kirumi iliyonajisi kanisa na kanisa takatifu la mungu!!!
huyo Mama Sumbawanga alisema nini mpaka akaambiwa aende kwa mbunge wa upinzani akamtatulie kero?
alipigia kura mbunge wa upinzani ???
ndugu yangu kuna watu wanafiki humu duniani huwezi amini, hv mtu ukikalia kile kiti unajiona upo juu ya MUNGU ama? Mungu hataniwi mazee, unasema wakuombee kwa Mungu saa hyo hyo unamdhihaki Mungu. Mwingine alilia kinafiki sana church. Wachungaji mtumie nyumba za ibada vizuri siku mtakiona kidole kinaandika madhabahuni ndo mtapo jamba checheKatika hali ya kindumilakuwili, RAISI akiwa kanisani Dodoma, kanisa katoliki lile linalomwimbia nyimbo za sifa na kuabudu, baada ya kusali alikabidhiwa kipaza sauti aseme neno, alizungumza siasa japo huwa yeye anasema siasa na dini zisichanganywe tena huenda mabili zaidi na kukutanisha wanasiasa wamuombee.
Alipopewa kinasa sauti, alisema ... watanzania wakachague viongozi wao wanaowataka ili wawaletee maendeleo bila KUJALI CHAMA WALA DINI! huu ni unafiki wa Phd ya UDOM, juzi tu hapa alisema wapinzani wanachelewesha maendeleo na wasichaguliwe na yule mama kule Sumbawanga alikuwa anamlilia akamwambie aende kwa huyo mbunge wa upinzani akamwombe!
KATOLIKI MNACHEZEA MADHABAHU YA BWANA, kumbuka mfalme mmoja alifia madhabahuni baada ya kuuza kipande cha ardhi na kudanganya.
Endeleeni tu kumdhihaki Mungu, msifikiri watanzania ni wajinga kama ninyi, tunawaheshimu tu,
NIMEIKUTA KWENYE PAGE YA BABA ASKOFU DR BENSON BAGONZA ALFAJIRI HII
FURAHA KAENDA WAPI?
Waliopiga kura hawana furaha
Waliosusa/suswa hawana furaha
Waliopita bila kupingwa hawana furaha
Waliosimamia kura hawana furaha
Walioshinda hawana furaha
Walioshindwa hawana furaha
Waliopanga yaliyotokea hawana furaha
Waliopangiwa yaliyotokea hawana furaha
Walioshauri hekima hawana furaha
Waliokaa kimya hawana furaha
Wanaounga mkono nilichoandika hapa, hawana furaha
Wanaopinga nilichoandika hapa, hawana furaha
Wanaodhani wana furaha hawana furaha
Wapinzani hawana furaha
Wapinzani wa wapinzani, hawana furaha.
ILA wanaodhani hawana furaha, ni KWELI hawana furaha.
Ni bora kujiuliza huyu furaha yuko wapi?
SadAliomba waletewe maji...
Furaha siyo uwezo wa kutumia nguvu uliyonayo, bali uwezo wa kuhimili nguvu zako ili zisiumize wengine..
Hongereni Ccm kwa kuwabwaga Wapinzani wenu
Hawataki kuamini kama Wananchi wamewapuuza, wamejificha kwenye kivuli cha kulaumu Rais
Huko makanisani kumebaki unafiki mtupu, akifa maskini atahojiwa ndugu wa marehemu maswali kibao kama marehemu alikuwa anasali au kushiriki michango, akitaka kuoa maskini utasinkia kunapingamizi alisha oa akaacha, sijui vitu gani huko, maskini hata kama ana jambo la kusema huwezi kusikia mapadre wakihoji kama kuna mtu ana la kusema ili apewe kipaza sauti aseme, bali mwenye hela na madaraka hahojiwi jambo anapata huduma zote. Hawa kina pengo and CO. Bure kabisa.
Katoliki ndio wanaongoza kwa tabia hii, sijasema wa hapa Tanzania, ila waoHuko makanisani kumebaki unafiki mtupu, akifa maskini atahojiwa ndugu wa marehemu maswali kibao kama marehemu alikuwa anasali au kushiriki michango, akitaka kuoa maskini utasinkia kunapingamizi alisha oa akaacha, sijui vitu gani huko, maskini hata kama ana jambo la kusema huwezi kusikia mapadre wakihoji kama kuna mtu ana la kusema ili apewe kipaza sauti aseme, bali mwenye hela na madaraka hahojiwi jambo anapata huduma zote. Hawa kina pengo and CO. Bure kabisa.
Hahaha Mkuu unaandika vitu visivyokwepo
Watanzania wanaendelea na shughuli zao wala hawana mawazo mgando km yako