Luther760
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 316
- 241
Ukiwa lipumbavu Unafurahia wenzio kunyanyaswaMbona mimi nina furaha! Nasubiri msusie na ubunge mwakani,na urais pia msusie,hatuna habarii..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa lipumbavu Unafurahia wenzio kunyanyaswaMbona mimi nina furaha! Nasubiri msusie na ubunge mwakani,na urais pia msusie,hatuna habarii..
Vijiji vyote vya huku kwetu watu wanadai eti uchaguzi bado haujafanyika, viongozi waliopo hawatambuliki, wanaogopa kuitisha mukutano na kwenye misiba hawatoi matangazo kwa kuogopa kuzomewa. Furaha imetoweka!!!Mmmmh....mbona hata mimi sina furaha wakati ni mwanaCCM tena hai?? Uchaguzi ulivurundwa na kufanywa wa kidhuluma ya kidemokrasia na ubabe wa kidola kupitia wizara husika. Waliopitishwa hata wao hawana ujasiri wa kujisifia au kifurahia kupachikwa kwao.
Mambo yakiwa hivi kwa 2020, haina haja ya kufanya uchaguzi wowote bali ufanyike uteuzi tu tuache demokrasia ya kimaigizo na machukizo.