IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
yeah.................igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah.................igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
yeah.................
Furaha yangu ninayo mwenyewe,
Hakuna wakunipa furaha isipokuwa mm mwenyewe,
Nikiweza kufurahi mwenyewe ndipo nitaweza kupokea furaha kutoka kwa mwingine.
amin...amin...amin_nakuambia,...furaha ya kweli na ya kudumu iko ndani yako.
amin...amin...amin_nakuambia,...furaha ya kweli na ya kudumu iko ndani yako.
Laima upate msaada wa kunogesha furaha yako
Kweli kabisaaaaa....! Moyo wako ukishakuwa na amani na ukishakubali mazingira yanayokuzunguka whether kazini au nyumbani..ukaikubali hali ya maisha yako..Baasi una furaha tosha! Ila kama vyote hivyo vina walakin,ndugu yangu hata kama una mke mzuri haitasaidia sana..furaha haitokamilika!
Nani kasema mke, mume, mchumba, mpenzi ndio kila kitu?????? Hawa hawana furaha yoyote ya kukupa wewe!
Yes nikiudhiwa nakasirika,na ili furaha yangu irudi ni lzm nimweleze mhusika km hajagundua km kaniudhi then tuyamalize,Amen.
Huwa unakasirika?? partner wako hasipotimiza wajibu wake kama mume utakuwa na furaha?
Km nitakuwa sina furaha hata yeye hatajisikia kunipa hiyo furaha aliyonayo yeye,Laima upate msaada wa kunogesha furaha yako