Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
af hujaniambiaga,ivi wewe ni mweupe? zizi la baba lisije lika shake tuu
Jamani niachieni Heaven on Earth wangu! Mbona Mimi nimewaachia Bazazi wenu Excel ???
niambie tu jamani.............
jirani nakwambia nilivyopenda.. niacheni tu
Jamani niachieni Heaven on Earth wangu! Mbona Mimi nimewaachia Bazazi wenu Excel ???
i love you!!!!!!!
ng'ombe kwanza
ndo kauli mbiu
kaka unaingizwa chooo cha kike mwanamke yuko two in one huyo
mcharuko sana huyo achana nae kaka
hiyo ndoto ilikufa kitambo
ahaa
hapo ng'ombe hazitoki nyingi..lol
mbona Excel ni penda penda ila watu tumenyamaza...............
ndo ujue love is blind niachie brother ako bana
kaka unaingizwa chooo cha kike mwanamke yuko two in one huyo
mcharuko sana huyo achana nae kaka
sijawahi kumuuliza sezae Ntuzu kama ana wivu