Katika maisha ya kawaida wanadamu wanaongozwa sana kwa matamanio hata kama siyo halisi. Lakini kitu halisi ni wakati uliopo na kile ulicho nacho na wala si matamanio ya kile usichonacho kwa wakati uliopo.
Watu wengi wanapoteza sana muda kwa kuwaza ni kwa nini hawana walivyotamani kuwa navyo badala ya kutumia muda huo kufurahia walivyo navyo na kuvitumia kwa ajili ya kuvipata vile wavitamanivyo!!
Lipa madeni mkuu utakua huru hata kuongea mbele ya aliekua anakudai, au unakatiza kabisa karibu na mji wake na tena unajikoholesha maksudi ili askie ni wewe unapita hamna haja ya kubadili njia..