Furahia msimu wa maparachichi

Furahia msimu wa maparachichi

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Helo wapendwa wa madikodiko

Ngoja niwapeni siri moja
Parachichi ni mojawapo ya matunda tajiri duniani. Yaani kama huli parachichi jua huna Bahati. Mungu kaibariki sana Tanzania ulaya parachichi sijui litakuwa laki ngapi kwa nutrients zilizopo.

Sasa Leo ngoja niwape formular ya kufaidi parachichi lako

Mahitaji
Parachichi moja
Tango moja
Nyanya
Kitunguu
Giligilani majani matano
Limao kipande
Chumvi
Apple cider vinegar

Jinsi ya kutengeneza
Unakata kata kama kachumbari then unamix
Leo sina picha nipo job nikitengeneza badae nitarusha

Thank me later enjoy your salad!
 
Mie hapo kwenye giligilani na Apple cider vinegar ndo umeniacha gizani shemeji!! Ila nasubiri picha na huu mwezi naeza nikafuturu kwa picha
 
Vipi kuhusu kuongeza heshima kwa wanaume wa Dar, inaweza....??
 
Back
Top Bottom