Furahia msimu wa maparachichi

Furahia msimu wa maparachichi

Helo wapendwa wa madikodiko
Ngoja niwapeni siri moja
Parachichi ni mojawapo ya matunda tajiri duniani.
Yaani kama huli parachichi jua huna Bahati
Mungu kaibariki sana Tanzania ulaya parachichi sijui litakuwa laki ngapi kwa nutrients zilizopo.
Sasa Leo ngoja niwape formular ya kufaidi parachichi lako
Mahitaji
Parachichi moja
Tango moja
Nyanya
Kitunguu
Giligilani majani matano
Limao kipande
Chumvi
Apple cider vinegar
Jinsi ya kutengeneza
Unakata kata kama kachumbari then unamix
Leo sina picha nipo job nikitengeneza badae nitarusha
Thank me later enjoy your salad!
Duuu...ninavyopenda vitu vitamu naomba tu unipikie msosi mtamu unitumie hata kny simu.
 
Kuna siku tulikua na function ofisini basi rafiki yangu Mkenya huyo akawa anamuelekeza caterer namna atengeneze kachumbari then aweke parachichi achanganyie mwanzoni I was like what [emoji849][emoji849]

Baadae alivyoileta ooh my God niliifurahia saaana
 
Yaani parachichi na giligilani kwenye kachumbari sio mchezo.uweke na yai la kuchemsha sasa wewee
 
Helo wapendwa wa madikodiko
Ngoja niwapeni siri moja
Parachichi ni mojawapo ya matunda tajiri duniani.
Yaani kama huli parachichi jua huna Bahati
Mungu kaibariki sana Tanzania ulaya parachichi sijui litakuwa laki ngapi kwa nutrients zilizopo.
Sasa Leo ngoja niwape formular ya kufaidi parachichi lako
Mahitaji
Parachichi moja
Tango moja
Nyanya
Kitunguu
Giligilani majani matano
Limao kipande
Chumvi
Apple cider vinegar
Jinsi ya kutengeneza
Unakata kata kama kachumbari then unamix
Leo sina picha nipo job nikitengeneza badae nitarusha
Thank me later enjoy your salad!
Kama nakuelewa ila gligli siijui nioneshe pich
 
Ongezea na yai la kuchemsha likate in slices upambe kwa juu
Waweza weka na nuts korosho au almonds

Salad yenye parachichi ni motoo
 
Ungekuwa unapenda mb*o kama unavyopenda kula sisi wanaume wa JF tungefaidi sana![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Hicho kijambo chake nazani kitaua mpk mbu chumbani maana mara weka mayai mara korosho hapo ni zaidi ya Saturn lili la Russia unatengeneza hapo
 
Back
Top Bottom