Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nimekuacha kivipi Mkuu? Huvijui ama?Mie hapo kwenye giligilani na Apple cider vinegar ndo umeniacha gizani shemeji!! Ila nasubiri picha na huu mwezi naeza nikafuturu kwa picha
Sivijui kabissaa huku kwetu sie vitu vyenye majina magumu magumu havipoNimekuacha kivipi Mkuu? Huvijui ama?
Ahahaa acha uongo bna vitu vya kawaida tu nenda sokoni hukoSivijui kabissaa huku kwetu sie vitu vyenye majina magumu magumu havipo
Nadhani mkuuVipi kuhusu kuongeza heshima kwa wanaume wa Dar, inaweza....??
Asante mkuu....Nadhani mkuu
Ndio Mkuu kitunguu majiKitunguu kipi hiki cha kawaida?
Supermarket na nanjililinji wapi na wapi shemeji!!Ahahaa acha uongo bna vitu vya kawaida tu nenda sokoni huko
Apple cider nenda supermarket ni elf tano tu
Giligilani majani sokoni fungu moja jero mkuu
Poa!Ndio Mkuu kitunguu maji
Unaishi mkoa gani Mkuu?Poa!
ukiwa unapost badae weka picha ya hayo majani (giligilani ) tuone mkuu
Ndo wapi huko Mkuu.halafu mi Shem wako toka lini?Supermarket na nanjililinji wapi na wapi shemeji!!
Sawa mkuuBaadae weka picha Mkuu
Utaratibu upo nitaweka picha badaeHakuna utaratibu wakukata kata maana si wengine tunavyokata tunajua wenyewe
MorogoroUnaishi mkoa gani Mkuu?
Mbona zipo masokoni mkuuMorogoro