Fursa 2017anzia sokoni

king suleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
1,749
Reaction score
1,149
Wasalam
jana nilipata muda wa kuhuzulia semina zinazoendeshwa na clauds media pale royo village dodoma
Nampongeza sana huyu mwanzilishi wa wazo hili kwamba kila wanapo kua na fieata basi na semina na ujasilia mali iwepo
Jana sikutoka kama nilivyoenda kuna vitu nilivipata na nikiviweka kwenye matendo naamini nitakua mtu mwangine kabisa
Kama mkoani kwako bado basi usipuuzie kuhuzuria semina hyo unapata moyo hata kama ulikua kalibu kukata tamaa
Baadhi ya mambo nilio ongeza ufahamu ni
1.kilimo cha matango ni siku 45 unavua
2.swala la mtaji sio kesi sana maana nguvu, uaminifu na nidhamu ni moja ya nguvu
3.umoja ni nguvu mkiungana watu hata watano mnaweza pata mkopo na pia mnaweza pata ardhi
4.kilimo cha maboga
5.ufugaji wa samaki
Haya ni baadhi ya mambo ambayo nilikua na uelewa nayo ila jana nimeongeza zaidi pia imenitia moyo kuona kwamba huku namsubili magu basi naweza fanya kitu huku mtaani

Bleseed, Ruge ,mpoto,nikki,siza, mavunde, lusinde, naibu waziri wa viwanda na wote ambao walishilik kuandaa ile semina najua haijatuacha kama tulivokua
Thank God
 
Ufugaji wa samaki nautaman ila cjapta pa kusnzia tu but one day I will try
 
Vizuri but wewe kama wewe ulikuwa na dream gani? kwanini usifuate ndoto zako mkuu. Ina mana huamini katika ndoto zako. Yote kwa yote lakini vizuri.


Ila usikose kushare nasi katika mafanikio yako yanaweza kutusaidia na sie pia.
 
Mi naona huwa wanaelezea tu historia yao waliyopitia bila kuwaeleza watu ni kwa namna gani wanaweza jikwamua na maisha haya ya Jpm na Nafikiri afadhali kila mtu alenge tu kwenye matarajio yake over.
 
Mkuu, nilikuona ulikua umekaa upande wa kushoto mbele kidogo ya camera...[emoji2] [emoji2]
Lakin.....Ulichukua namba ya sim ya Mpoto alipotoa offer ya miche ya mipapai bure...?
Na je, ulimsikia mkurugenzi wa mji alipo sema kwamba jiungeni vikundi na pesa ipo kwaajili ya mikopo kwa miradi ya vijana...?

Mimi nilipotoka tu pale, nikaenda kununua matofali na kisha yake (jumapili) nikajenga banda la kuku hapa ninapoishi (area D) kesho natarajia kuezeka na kisha niingize vifaranga.

Mkuu.....
Ebu fanya mchakato ijumaa jioni twende Veyula tukaangalie maeneo kwaajili ya kilimo
 
Asante kwa mualiko asee ila siku ei nyingi sitakuwepo dodoma nitakua mkoa mwingine
Elim ya ujasiliamali ntaenda kuitumia uko uko
No ya mpoto nilichukua for future use ila hatoi bure hata kidogo anauza
Mkurugenzi nilimsikia nahisi hat mikoa mingine hii huduma itakuwepo

Alaf nikajua uliniona kweli ingaw nilikua nimekaa kushoto ila si mbele
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Pamoja mkuu
 
Fanya unachoamini, jaribu kufeli kwako ndo mafanikio yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…