king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,149
Wasalam
jana nilipata muda wa kuhuzulia semina zinazoendeshwa na clauds media pale royo village dodoma
Nampongeza sana huyu mwanzilishi wa wazo hili kwamba kila wanapo kua na fieata basi na semina na ujasilia mali iwepo
Jana sikutoka kama nilivyoenda kuna vitu nilivipata na nikiviweka kwenye matendo naamini nitakua mtu mwangine kabisa
Kama mkoani kwako bado basi usipuuzie kuhuzuria semina hyo unapata moyo hata kama ulikua kalibu kukata tamaa
Baadhi ya mambo nilio ongeza ufahamu ni
1.kilimo cha matango ni siku 45 unavua
2.swala la mtaji sio kesi sana maana nguvu, uaminifu na nidhamu ni moja ya nguvu
3.umoja ni nguvu mkiungana watu hata watano mnaweza pata mkopo na pia mnaweza pata ardhi
4.kilimo cha maboga
5.ufugaji wa samaki
Haya ni baadhi ya mambo ambayo nilikua na uelewa nayo ila jana nimeongeza zaidi pia imenitia moyo kuona kwamba huku namsubili magu basi naweza fanya kitu huku mtaani
Bleseed, Ruge ,mpoto,nikki,siza, mavunde, lusinde, naibu waziri wa viwanda na wote ambao walishilik kuandaa ile semina najua haijatuacha kama tulivokua
Thank God