Fursa adimu ya kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa Mikocheni A, Pata taarifa zaidi"

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
"
Ni fursa adimu kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa huko Mikocheni A. Kiwanja hiki kina ukubwa wa 1500sqm na kina hati miliki, kwa hiyo unaweza kuwa na uhakika wa umiliki wako. Kiwanja hiki ni muhimu sana kwa ajili ya ujenzi wa apartments, office block, au hata ukumbi wa starehe. Bei yake ni ya kuvutia, tu $ 350,000, ambayo ni nafuu ikilinganishwa na thamani ya eneo hili. Kama ukijenga apartments, unaweza kupangisha moja ya vyumba vitatu kwa $ 2500, na hivyo kupata mapato ya ziada. Usikose nafasi hii ya kuwa mmiliki wa kiwanja hiki kipekee na thamani. It's a once in a lifetime opportunity!
Tuwasiliane 0784225000
 
350,000USD?

Land value hua ni speculations tupu.....ndio maana anaeuza land na anaenunua kwa speculative price hua wote ni vichaa
 
Long time no see brother.
Kwema?
 
350,000USD?

Land value hua ni speculations tupu.....ndio maana anaeuza land na anaenunua kwa speculative price hua wote ni vichaa

Kiwanja cha SQM 450 kariakoo kinauzwa zaidi ya bilioni 5. Je wanunuzi wanaokinunua ni vichaa ?
 
Hizi ni biashara za perceptions

Hakuna reality hapo..ni vichwa na mioyo ya binadamu wanaodhani hiyo thamani ni ya kweli,si kweli ni fantasy.

Kesho asubuhi wanaweza amka asubuhi vichwa vyao vikawaza "kariakoo haina thamani" wakatamka thamani ni sifuri na kweli kiwanja kikatoka 5Bilion unayosemea hapa ikawa Sifuri

Hizi speculations ni ukichaa wa wanadamu

Sinunui upumbavu huu mimi ndio niuze au ninunue kipindi watu wana financial stresses bei imekua sifuri lakini siwezi nunua at a stupid bubble of 5Bilioni
 
Back
Top Bottom