FURSA: Biashara ya playstations/games Kariakoo

Joined
Aug 29, 2012
Posts
47
Reaction score
28
Hello fellas.

Kuna fursa ya biashara ya playstations/games

Watu wengi wamekuwa wakiuziwa games kwa bei ghali sana pia wakiuziwa mashine ambazo sio imara.

Kuna mahali Kariakoo wanauza games kwa bei nzuri na mashine zao imara.

Ninachopenda toka kwao wanauza games original na wanazo mashine mpya kwenye boksi pia wanazo mitumba.

Wana Pads na vifaa vingine vinavyohusiana na games.

Hawa jamaa wanapatikana mtaa wa Lindi na Congo.

Wapigie pia watsap 0713924581
 
Hongera mkuu biashara nzuri tutakuja
 
Ps4 na xbox 1 used wanauzaje
 
Back
Top Bottom