Fursa Biashara ya supu na chapati

Jankidust

New Member
Joined
Mar 22, 2020
Posts
3
Reaction score
3
Habari wakuu,

Natafuta binti alie tayari kwa kufanya biashara ya kupika chapati na supu na kuuza. Awe anaishi maeneo karibu na Ubungo (mfano Magomeni, Manzese, Mwananchi, Buguruni, Sinza, Kimara n.k).

Nitatoa kila kitu (mtaji na vyombo pia) faida tutagawana kwa maelewano tutakayo kubaliana.

Kwa alietayari atume SMS 0623598980.

Ahsante.
 
Habari wakuu,

Natafuta binti alie tayari kwa kufanya biashara ya kupika chapati na supu na kuuza. Awe anaishi maeneo karibu na Ubungo. Mfano Magomeni, Manzese, Mwananchi, Buguruni,Sinza, Kimara,mabibo n.k).

Nitatoa kila kitu (mtaji na vyombo pia) faida tutagawana kwa maelewano tutakayo kubaliana.

Kwa alietayari atume SMS 0623598980 Ahsante.
 
Kwanini usimtafute nduguyo ukafanya nae iyo biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…