FURSA: Event sponsorship proposal

FURSA: Event sponsorship proposal

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam ndugu zangu wa JamiiForums.

Mimi ni mmoja wa member katika jukwaa hili kwa kipindi kirefu sana na nimekuwa nafatilia jukwaa hili kila siku, Yaani nikifika tu ofisini jambo la kwanza ni kufungua jukwaa hili ili ku refresh mind na kupata madini kadhaa walau dk 15 then kuendelea na majukumu mengine, Kwa kweli jamiiforums ni moja ya jukwaa la watu makini sana na ndio maana kuna watu kibao maarufu, wenye vyeo, wenye ushawishi, wafanyabiashara na wengine kibao itoshe kusema hivyo.

Sasa dhima kubwa ya kuanzisha uzi huu ni kwamba kadri muda unvyozidi kwenda dunia inabadilika kwa kasi sana, hawa kwenye mambo ya teknolojia pamoja na mambo kadha ya kijamii. Kumekuwa na matukio (EVENTS) mbalimbali na kiserikari, binafsi, mashirika, makampuni, wasanii na kadharika.

Sasa kwa sababu hakuna haja ya kuficha na kwa kuwa huu ni mtandao huru naomba kujitambilisha kama MJASIRIAMALI wa kuandika bidhaa hii (events sponsorship proposal). Kwa elimu nina degree ya sheria kutoka mzumbe, nina uzoefu wa miaka 9 sasa naandika sponsorship proposal katika kampuni mbalimbali.

Kuna ule msemo kwamba ukiwa unafanya kazi na cooporate lazima uwe mkweli, sasa kusema ukweli asilimia 60 ya events proposal zangu huwa zinapitishwa, zingine huwa naambiwa nirekebishe kutokana na malengo au matakwa ya makampuni. Bei zangu ni rafiki sana mimi ni kijana pekee naweza kuandika proposal kuanzia elfu 70 inategemea na proposal yako. Pia nimesajili kampuni yangu nina ofisi zangu zipo Buguruni Rozara Complex frame no 1.

NB: Kuhusu sample nipigie 0710 782874 au nitumie email: brojustnyanza@gmail.com

Karibuni sana kwa huduma yangu yenye kiwango na mashiko. Mungu awabariki

GETRICH BUSINESS CONSULTANTS
PLOT 203, BLOCK A, UHURU ROAD,
Buguruni Rozana, Frame no 1
HOTLINE: 0710 782874
 
Back
Top Bottom