Ndio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza haki zao nyingi hasa raslimali ardhi. Je wamejipanga kukabiliana na changamoto hizo na nyingine?