Fursa, Fursa, Fursa Dodoma

Fursa, Fursa, Fursa Dodoma

mhhhhh

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
240
Reaction score
126
Ndio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza haki zao nyingi hasa raslimali ardhi. Je wamejipanga kukabiliana na changamoto hizo na nyingine?
 
ulichokiandika na heading yako tofauti sana. Tulia kwanza ndio upost
 
Mkuu Fugwe hujaelewa tu maudhui fikiri tena utoe mchango wako. Asante
 
Hata sijui umeandika nini, ndalichako ana kazi sana ya kutoa wanao hapo ulipo [emoji79]
 
Ndio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza haki zao nyingi hasa raslimali ardhi. Je wamejipanga kukabiliana na changamoto hizo na nyingine?
jina tu lenyewe ni mhhhh! sasa una maana gani hapa?
 
Sasa mada ni jina au?!!!!. Wonderfully enough unatumia nguvu nyingi to understand simple things.If you it doesn't get into your upstairs just leave it. Don't just provoke urge
 
Kumbe huku jf kuna hata people with minute brains mi nilifikiri wanapatikana great minded only
 
Ndio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza haki zao nyingi hasa raslimali ardhi. Je wamejipanga kukabiliana na changamoto hizo na nyingine?
Unazingua...unapika pombe!!!
 
Sasa mada ni jina au?!!!!. Wonderfully enough unatumia nguvu nyingi to understand simple things.If you it doesn't get into your upstairs just leave it. Don't just provoke urge
Jipange halaf uje tena kwanza umepanic
 
Ndio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza haki zao nyingi hasa raslimali ardhi. Je wamejipanga kukabiliana na changamoto hizo na nyingine?
When you are angry and you write an post, don’t press ‘post/share’ until you’ve read it again the next day
 
Hivi ndivyo ulivyofundishwa na mwalimu wako wa kindergarten "an post" hata hujui article an inatumika na maneno gani?! Na ninyi ndo wale oh hajui English kumbe wao hata kuandika neno moja ni tatizo ndo maana hujanielewa. Kasome kwanza ndo uje huku jf young man
 
Duh mkuu mbona povu.com
 
Back
Top Bottom