ulichokiandika na heading yako tofauti sana. Tulia kwanza ndio upostNdio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza haki zao nyingi hasa raslimali ardhi. Je wamejipanga kukabiliana na changamoto hizo na nyingine?
jina tu lenyewe ni mhhhh! sasa una maana gani hapa?Ndio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza haki zao nyingi hasa raslimali ardhi. Je wamejipanga kukabiliana na changamoto hizo na nyingine?
Unazingua...unapika pombe!!!Ndio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza haki zao nyingi hasa raslimali ardhi. Je wamejipanga kukabiliana na changamoto hizo na nyingine?
Jipange halaf uje tena kwanza umepanicSasa mada ni jina au?!!!!. Wonderfully enough unatumia nguvu nyingi to understand simple things.If you it doesn't get into your upstairs just leave it. Don't just provoke urge
When you are angry and you write an post, don’t press ‘post/share’ until you’ve read it again the next dayNdio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza haki zao nyingi hasa raslimali ardhi. Je wamejipanga kukabiliana na changamoto hizo na nyingine?
Hivi ndivyo ulivyofundishwa na mwalimu wako wa kindergarten "an post" hata hujui article an inatumika na maneno gani?! Na ninyi ndo wale oh hajui English kumbe wao hata kuandika neno moja ni tatizo ndo maana hujanielewa. Kasome kwanza ndo uje huku jf young manWhen you are angry and you write an post, don’t press ‘post/share’ until you’ve read it again the next day
Duh mkuu mbona povu.comHivi ndivyo ulivyofundishwa na mwalimu wako wa kindergarten "an post" hata hujui article an inatumika na maneno gani?! Na ninyi ndo wale oh hajui English kumbe wao hata kuandika neno moja ni tatizo ndo maana hujanielewa. Kasome kwanza ndo uje huku jf young man