Fursa.......fursa.......fursa. ....

Katitima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
630
Reaction score
121
Leo npo mbeya,nikiwa huku huwa naishi maeneo ya block 't' jiran kabisa na chuo kikuu cha teofilo kisanji(teku).sasa leo kuna semina inaendelea hapa imeandaliwa ma clouds fm na na miongoni mwa wawezeshaji ni pamoja na ruge,mrisho mpoto,nick wa pili,mwakilish toka nssf,mwakilish toka serengeti brew,mwakilish toka max malipo na mwakilish kutoka tpsf-business & entreprise start up program.jamaa ndo wameanza kufanya presentation ma kidogo nahisi kama nawaelewa vile.
Na mada ni "fursa"
wakuu tulinpo tujuzane zaid
 
Desa mpaka semina!, nafikiri serengeti watakua wamekuja na bidhaa zao pia.
 
desa mpaka semina!, nafikiri serengeti watakua wamekuja na bidhaa zao pia.

serenget hawakuja na bidhaa ila katka moja ya segment za mwezeshaj mwakilishi wao alizipa promo kidogo bidhaa zao.
 
katitima mkuu fafanua mnawezeshwaje?

mkuu,mchakamchaka..kulikuwa na mada zinazohusiana ma ujasiriamali na jinsi ya kuzitambua fursa zilizopo katika eneo ulilopo.kwa hyo tulikuwa tunaelekezwa jinsi ya kuzitambua fursa ya kilimo cha kisasa na chenye tija,ufugaji wa kisasa na wenye tija na biashara kwa ujumla wake.lakini pia nssf walikuwa wanajaribu kutoa mianya itakaowawezesha vijana kupata mikopo nafuu.
 
RUGE anawahaada akupe na wewe fursa ukodishe mic,speaker kwa tsh 169m kwa ziara ya obama uone na wewe kama hujatoka!BUSINESS IN TANZANIA IS JUST CONNECTION,WHO ARE YOU,CORRUPTION
 
Mkuu nikwambie kitu,fanya utupie humu hizo tips za kujua fursa zilizopo ktk eneo lako!
 
Fursa ni nyingi lakini uthubutu wengi hatuna.tutahudhuria semina nyingi sana lakini tulio wengi tunaona ni bora kuajiriwa.ujasiriamali ni zaidi ya kukaa na kufundishwa darasani.tunaenda darasani kupata mbinu zaidi za uwekezaji na namna ya kuweka rekodi za kimahesabu lakini sio kujifunza kuanza biashara

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…