Katitima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 630
- 121
Leo npo mbeya,nikiwa huku huwa naishi maeneo ya block 't' jiran kabisa na chuo kikuu cha teofilo kisanji(teku).sasa leo kuna semina inaendelea hapa imeandaliwa ma clouds fm na na miongoni mwa wawezeshaji ni pamoja na ruge,mrisho mpoto,nick wa pili,mwakilish toka nssf,mwakilish toka serengeti brew,mwakilish toka max malipo na mwakilish kutoka tpsf-business & entreprise start up program.jamaa ndo wameanza kufanya presentation ma kidogo nahisi kama nawaelewa vile.
Na mada ni "fursa"
wakuu tulinpo tujuzane zaid
Na mada ni "fursa"
wakuu tulinpo tujuzane zaid