Kuna sms zinazunguka zinatumwa na mtandao wa airtel ni za kingereza. Sma hyo imeandikwa hv Your application has been approved, the salary is 22000-45000TZS per day. Contact information:
ORA HR
Ni wizi mtupu. Hizi hapa picha chini nkichat nao hawa watu
Tuwe makini na hawa watu