Fursa gani inamfaa kijana aliyehitimu darasa la 7?

Fursa gani inamfaa kijana aliyehitimu darasa la 7?

Kama ana akili ya maisha , mpe mtaji kidogo tu aangalie sehemu hata mvua itakatika kuna umwagiliaji , alime vitunguu saumu au hata zao ambalo lipo sokoni . Kilimo ni mambo yote , uliyesoma utajaomba mtaji kwake !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umri wake najua hana zaifi ya miaka 15 hivyo akisomea mechanics mpaka apate diploma ambapo atakuwa NONDO sana kuliko vijana wa auto mobile pale NIT atakuwa na miaka 19-20 hata wenzie waliokwenda kidato cha kwanza watasubiri.
.
Fani zingine ambazo sip za kutegemea ajira zinacheza kiungo na zinashambulia ni ELECTRICAL (wa magari na majumbani) plumbing, na UJENZI!
Elimu ya sekondari ni ya lazima haijalishi mtu anataka kuwa Nani badae.
Huwezi kupata diploma kama elimu yako uliishia darasa la saba.
Cha kumshauri jamaa asifanye ubahili kwenye kumsomesha kama uwezo wa kulipa ada.
Hata Mimi Nina wadogo wengi kama hao,najitahidi kuwasaidia upande wa elimu,ukisema uruke hatua hiyo watakuwa ni mizigo yako na watakutesa miaka yote na hawataweza kusaidika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom