NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
- Thread starter
-
- #21
Asante mkuukama darasani ni sifuri aangalie ana kipaji gani.Muendeleze kwenye kipaji chake,mfano muziki,mpira wa mguu,kupigana n.k
Elimu ya sekondari ni ya lazima haijalishi mtu anataka kuwa Nani badae.Kwa umri wake najua hana zaifi ya miaka 15 hivyo akisomea mechanics mpaka apate diploma ambapo atakuwa NONDO sana kuliko vijana wa auto mobile pale NIT atakuwa na miaka 19-20 hata wenzie waliokwenda kidato cha kwanza watasubiri.
.
Fani zingine ambazo sip za kutegemea ajira zinacheza kiungo na zinashambulia ni ELECTRICAL (wa magari na majumbani) plumbing, na UJENZI!
kupiga debe