Fursa gani za biashara mkoa wa Tanga?

Fursa gani za biashara mkoa wa Tanga?

Ulishaenda tanga au bado maana nataka nikuambie mjini kuna mdororo wa hela kabisa labda ufungue club au bar kali sana.
 
Mimi nimeshafika tanga na nlikaa mda...
kule fursa labda samaki nazi na dagaa(hawa dagaa nyama)... ukisema ufunge pub kule cdhan kama itakulipa sana unless uwe umefungulia mitaa ya vyuo.....
kingine wale watu wanapenda sherehe sanaaaaa so ukiwa na vitu vya kukodisha vya masherehe kama tents na speakers unauhakika wa kubadili mboga......

fursa nlizozitaja nmeshazifanya hivyo nna experienc nazo kidogoooi
 
Kweli lakini club bado inalipa sio wote hawanywi na haziko nyingi ndio maana nasema hivo ila hapo kwenye sherehe uko sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom