Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli lakini club bado inalipa sio wote hawanywi na haziko nyingi ndio maana nasema hivo ila hapo kwenye sherehe uko sawa kabisa.Mimi nimeshafika tanga na nlikaa mda...
kule fursa labda samaki nazi na dagaa(hawa dagaa nyama)... ukisema ufunge pub kule cdhan kama itakulipa sana unless uwe umefungulia mitaa ya vyuo.....
kingine wale watu wanapenda sherehe sanaaaaa so ukiwa na vitu vya kukodisha vya masherehe kama tents na speakers unauhakika wa kubadili mboga......
fursa nlizozitaja nmeshazifanya hivyo nna experienc nazo kidogoooi