Ahsante sana sana,kalime mpunga au vitunguu
Nashukuru sana, hili wazo nimelipata na nitalifanyia kazi.Kusanya mazao wakati wa kuvuna kisha uza yanapopanda bei (Mpunga na nafaka).Kama kuna umeme funga mashine ya Kusaga na kukoboa utanishukuru baadaye.